Kweli kabisa halafu wala si wazuri kihivyowote Wamekosa usafiri. wanatembelea mikono.
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni...Mwamvita ana umbo zuri labda kwa wale wanaopenda XXL wanaweza wasikubaliane na mimi.Kwa kweli Bongo hawa wako juu si mchezo kwa kila kitu (urembo, kazi/biashara nzuri, maisha safi, kuenjoy, na waume/wapenzi decent, hongera zenu warembo...
![]()
Masihara hayo kaka ina maana hata mtoto wa makamba haujamuona?Sijaona kitu au meter yangu iko vibaya?