Jamani mtaweza kweli kufanya verification kwa watu karibu 370,000 kwa njia hii ingawaje wengine wana ID zaidi ya moja na wengine wamekwisha ondoka duniani, na wengine yawezekana ni dropouts, na wengine kutelekeza ID zao baada ya kuanza kufahamika kwenye physical world.