Awwwwww that's the spirit.
Naanzaje kukuliza sasa The bold wangu jamani?
Machozi yako kwangu yatakuwa ya furaha and not otherwise.
You know me honey,I love you and you know bout that.
Hakuna anayejua ni jinsi gani nakupenda zaidi yako wewe pekee,ndio maana pamoja na vitisho vyote unavyopewa bado umezidi kuniamini.
Sikupendi kuuthibitishia umma nakupenda, nakupenda sababu moyo wangu unaniambia nakupenda wewe pekee.
Nakupenda sababu unanipa sababu za kukupenda kila uchwao.
Nakupenda sababu sioni mwingine wa kumpenda zaidi yako.
You deserve my all
#TheBoldIsMine#