agness s obedi Member Joined Nov 5, 2016 Posts 71 Reaction score 59 Dec 30, 2016 #501 Valentina said: Ha haa kumbe comments zangu humu ndo unatumia kama proof ya jinsia yangu? Hiyo haitoshi. Mie dume tena dume la haja Click to expand...
Valentina said: Ha haa kumbe comments zangu humu ndo unatumia kama proof ya jinsia yangu? Hiyo haitoshi. Mie dume tena dume la haja Click to expand...
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,451 Reaction score 69,319 Dec 30, 2016 #502 atoto said: Safi Malcom, habari ya weye? Click to expand... Poa kabisa na mimi huwa natamani kukuona!
atoto said: Safi Malcom, habari ya weye? Click to expand... Poa kabisa na mimi huwa natamani kukuona!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,410 Reaction score 176,317 Dec 30, 2016 #503 MALCOM LUMUMBA said: Poa kabisa na mimi huwa natamani kukuona! Click to expand... Oooh!! Karibu tu unione maana nami natamani kukuona.
MALCOM LUMUMBA said: Poa kabisa na mimi huwa natamani kukuona! Click to expand... Oooh!! Karibu tu unione maana nami natamani kukuona.
MALCOM LUMUMBA JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 21,451 Reaction score 69,319 Dec 30, 2016 #504 atoto said: Oooh!! Karibu tu unione maana nami natamani kukuona. Click to expand... Basi tuombe uzima kwa Mungu naamini kuna siku tutaonana, Nikutakie mwisho wa mwaka mwema!
atoto said: Oooh!! Karibu tu unione maana nami natamani kukuona. Click to expand... Basi tuombe uzima kwa Mungu naamini kuna siku tutaonana, Nikutakie mwisho wa mwaka mwema!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,410 Reaction score 176,317 Dec 30, 2016 #505 MALCOM LUMUMBA said: Basi tuombe uzima kwa Mungu naamini kuna siku tutaonana, Nikutakie mwisho wa mwaka mwema! Click to expand... Nawe pia mkuu.
MALCOM LUMUMBA said: Basi tuombe uzima kwa Mungu naamini kuna siku tutaonana, Nikutakie mwisho wa mwaka mwema! Click to expand... Nawe pia mkuu.
Skate Boy JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 312 Reaction score 204 Dec 30, 2016 #506 Dinazarde said: Ilikuaje? Click to expand... Mmmmh!! Acha umbea sasa
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Dec 30, 2016 #507 Valentina said: Ha haa kumbe comments zangu humu ndo unatumia kama proof ya jinsia yangu? Hiyo haitoshi. Mie dume tena dume la haja Click to expand... Tufungue uzi wetu tujiite madume wotee sawaa
Valentina said: Ha haa kumbe comments zangu humu ndo unatumia kama proof ya jinsia yangu? Hiyo haitoshi. Mie dume tena dume la haja Click to expand... Tufungue uzi wetu tujiite madume wotee sawaa
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Dec 30, 2016 #508 Dinazarde said: Tufungue uzi wetu tujiite madume wotee sawaa Click to expand... Haya tufungue... Teh
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Dec 30, 2016 #509 Valentina said: Haya tufungue... Teh Click to expand... Fungua sasa au mi ntawaita nnaowajua waje
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,771 Reaction score 4,491 Dec 30, 2016 #510 Dinazarde said: Fungua sasa au mi ntawaita nnaowajua waje Click to expand... Hivi hakuna aliyetaja kukujua?
Dinazarde said: Fungua sasa au mi ntawaita nnaowajua waje Click to expand... Hivi hakuna aliyetaja kukujua?
Patience123 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2013 Posts 5,092 Reaction score 8,786 Dec 30, 2016 #511 mshana jr said: Mnafanyafanyaje mpaka wanakubali muonane? Mi mbona hawataki Click to expand... Wanaogopa kupelekwa giningi.
mshana jr said: Mnafanyafanyaje mpaka wanakubali muonane? Mi mbona hawataki Click to expand... Wanaogopa kupelekwa giningi.
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Dec 30, 2016 #512 Tembosa said: Hivi hakuna aliyetaja kukujua? Click to expand... Hakuna hata wewe hujanitaja
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Dec 30, 2016 #513 Dinazarde said: Fungua sasa au mi ntawaita nnaowajua waje Click to expand... Mi mvivu wa kufungua mwenzio ujue
Dinazarde said: Fungua sasa au mi ntawaita nnaowajua waje Click to expand... Mi mvivu wa kufungua mwenzio ujue
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Dec 30, 2016 #514 Dinazarde said: Hakuna hata wewe hujanitaja Click to expand... Hivi hata Nyani Ngabu hajakutaja? Basi wa kuchapwa huyo
Dinazarde said: Hakuna hata wewe hujanitaja Click to expand... Hivi hata Nyani Ngabu hajakutaja? Basi wa kuchapwa huyo
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,771 Reaction score 4,491 Dec 30, 2016 #515 Dinazarde said: Hakuna hata wewe hujanitaja Click to expand... kwani mi nakujua? i never talk to u...never see u. karibu lakini
Dinazarde said: Hakuna hata wewe hujanitaja Click to expand... kwani mi nakujua? i never talk to u...never see u. karibu lakini
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,771 Reaction score 4,491 Dec 30, 2016 #516 Valentina said: Hivi hata Nyani Ngabu hajakutaja? Basi wa kuchapwa huyo Click to expand... pengine dume huyo...naona jina lako kwenye mwanzo wa uzi, wewe utakuwa sio dume
Valentina said: Hivi hata Nyani Ngabu hajakutaja? Basi wa kuchapwa huyo Click to expand... pengine dume huyo...naona jina lako kwenye mwanzo wa uzi, wewe utakuwa sio dume
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Dec 30, 2016 #517 Tembosa said: kwani mi nakujua? i never talk to u...never see u. karibu lakini Click to expand... Unanikana wallah Hata yesu alikanwa sembuse mimi
Tembosa said: kwani mi nakujua? i never talk to u...never see u. karibu lakini Click to expand... Unanikana wallah Hata yesu alikanwa sembuse mimi
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,001 Reaction score 72,284 Dec 30, 2016 #518 Valentina said: Hivi hata Nyani Ngabu hajakutaja? Basi wa kuchapwa huyo Click to expand... Hajanitajaa hata yeye
Valentina said: Hivi hata Nyani Ngabu hajakutaja? Basi wa kuchapwa huyo Click to expand... Hajanitajaa hata yeye
Tembosa JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 4,771 Reaction score 4,491 Dec 30, 2016 #519 Dinazarde said: Unanikana wallah Hata yesu alikanwa sembuse mimi Click to expand... nakukana wapi ww hufahamiani na member yoyote humu, na kuna sehemu unaandika kiume kabisa kwanini tusiwe na mashaka? hapo naona avatar nzuri, jina zuri navutiwa kuchat na ww kumbe dume, yafaa nini sasa
Dinazarde said: Unanikana wallah Hata yesu alikanwa sembuse mimi Click to expand... nakukana wapi ww hufahamiani na member yoyote humu, na kuna sehemu unaandika kiume kabisa kwanini tusiwe na mashaka? hapo naona avatar nzuri, jina zuri navutiwa kuchat na ww kumbe dume, yafaa nini sasa
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Dec 30, 2016 #520 Tembosa said: pengine dume huyo...naona jina lako kwenye mwanzo wa uzi, wewe utakuwa sio dume Click to expand... Ha haa kiwa kaudanganya uma
Tembosa said: pengine dume huyo...naona jina lako kwenye mwanzo wa uzi, wewe utakuwa sio dume Click to expand... Ha haa kiwa kaudanganya uma