Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,371 Reaction score 111,682 Nov 23, 2014 #121 Konda wa bodaboda said: Mmmmm!!!!!!!! Click to expand... Dogo kuna nini, mbona unatoa sauti za watu walio kileleni?
Konda wa bodaboda said: Mmmmm!!!!!!!! Click to expand... Dogo kuna nini, mbona unatoa sauti za watu walio kileleni?
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 75,525 Reaction score 185,663 Nov 23, 2014 #122 usawa wa kulia said: 1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura 2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu 3..kaka jambazi Click to expand... so interesting, unique, creative and funny especially ulivomix na hiyo namba 3 ....good
usawa wa kulia said: 1.masai dada, yani huyu kweli ni ndito hasa ana uzuri wa ajabu sidhani jina lake linaendana na sura 2..evelyn salt hata huyu dada ni mkali ile mbaya we acha tu 3..kaka jambazi Click to expand... so interesting, unique, creative and funny especially ulivomix na hiyo namba 3 ....good
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,216 Nov 23, 2014 #123 watu8 said: Dogo kuna nini, mbona unatoa sauti za watu walio kileleni? Click to expand... kilele cha mlima kitonga
watu8 said: Dogo kuna nini, mbona unatoa sauti za watu walio kileleni? Click to expand... kilele cha mlima kitonga
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 17,581 Reaction score 20,216 Nov 23, 2014 #124 usawa wa kulia said: masai dada nmekumiss..,mzima wangu Click to expand... mzima ila wewe jamaa wewe ukakimbia juzi huu mjadala
usawa wa kulia said: masai dada nmekumiss..,mzima wangu Click to expand... mzima ila wewe jamaa wewe ukakimbia juzi huu mjadala
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Nov 23, 2014 #125 Khantwe said: Uwiii....kaka jambazi?? Click to expand... mama mkwe we ni jinsia gani? maana me nilijua Kaka Jambazi ni dume kumbe lady.. toa utata tafwazali.. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Khantwe said: Uwiii....kaka jambazi?? Click to expand... mama mkwe we ni jinsia gani? maana me nilijua Kaka Jambazi ni dume kumbe lady.. toa utata tafwazali..
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,099 Reaction score 127,838 Nov 23, 2014 #126 First Born said: mama mkwe we ni jinsia gani? maana me nilijua Kaka Jambazi ni dume kumbe lady.. toa utata tafwazali.. Click to expand... Mkwe umechoka kuniheshimu au umemchoka binti yangu??? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
First Born said: mama mkwe we ni jinsia gani? maana me nilijua Kaka Jambazi ni dume kumbe lady.. toa utata tafwazali.. Click to expand... Mkwe umechoka kuniheshimu au umemchoka binti yangu???