Mimi nimehisi kutokana na alivyoandika hapo nilipom-quote.
Nilimwambia hivyo baada ya kukana kuwa si yeye, nikamwambia kuwa kama nimekosea basi ni kutokana na ainauandishi wake. Kwa kweli sina hakika kama ni yeye au la.You might be right or wrong as well...
Huenda alikuwa anatoa ushauri kwa moderator kama mdau mwingine tu...
Ila muundo wa sentensi alioutumia ndio tatanishi...
Umeona eeh!! wakati wenzako wanatembea peku kumbe wewe unavaa viatu vinavyoitwa kandambili.
Nipo jirani, habari zako wewe na ankal wetu?
mie mzima sana........ankal yuko poa anaongea yote sasa hivi........namtafutia mdogo wake.....
alafu wewee sitakutumia tena vitu vizuri
niliamka sikuangalia simu
hapa ndo napat walau wasaa wa kutazama simu
naona watu kumi na moja ikifika ni balaa
nashukuru ila huyu kiumbe na hu muandiko nina mashaka makubwa moyoni
ila ngoja nitamjua tu
nafurahi kujua u bukheri wa afya kipenzi....kumbe muda umesogea eenh ashukuriwe sana Mungu...hahaha jirani mbona mbio mbio hivyo!!!
ah anadeka sana.....sasa ili akae sawa inabidi nimpatie mdogo wake......
hahaha hapa najiuliza na huyo mdogo mtu naye akiwa mdekaji...
mie mzima sana........ankal yuko poa anaongea yote sasa hivi........namtafutia mdogo wake.....
nafurahi kujua u bukheri wa afya kipenzi....kumbe muda umesogea eenh ashukuriwe sana Mungu...hahaha jirani mbona mbio mbio hivyo!!!
ah anadeka sana.....sasa ili akae sawa inabidi nimpatie mdogo wake......
hahaha hapa najiuliza na huyo mdogo mtu naye akiwa mdekaji...
haaaaaa......mpaka wawe wengi kama timu ya mpira.....
Mmmmm!!!!!!!!
mbona waguna........
We mwongo thana?
Hahahahahahaha!! tena ndio unajithibitisha kuwa wewe ni mwongo.usichanganye madesa....
Hahahahahahaha!! tena ndio unajithibitisha kuwa wewe ni mwongo.