Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,692
- Thread starter
- #81
Mimi natoa bure. Ukihitaji ni PMWakaka na nyie anzisheni hii huduma basi......... kuna watu tuna mahitaji Lmao
Mimi natoa bure. Ukihitaji ni PMWakaka na nyie anzisheni hii huduma basi......... kuna watu tuna mahitaji Lmao
Unafanya research......tuletee mrejesho.Aliye interested na huduma iyo anichek Pm
Napatikana muda wote kuanzia saa 2 asubuhi.
Siyo kila alipiga picha amevaa joho anashahada mkuuNacho elezea nakijua. Usitake nchokoza mpaka nkaweka picha zake za graduation.
Mi sio mtoto mdogo. Najua nachoeleza. Wewe hata picha hujaona unaanza kupinga. Acha ujuaji wwSiyo kila alipiga picha amevaa joho anashahada mkuu
Kwa wanaume tu mimi nipo private na gharama ni very affordable.Kwa wanawake au wanaume?
Wote mnaochangia kwenye hii thread mna pepo la ngono
Ili kuepuka kuhatarisha faragha zetu na kufungua id mpya kujaza bure server za jf naomba uweke hapa huduma unazotoa, bei na mawasiliano ili nikikutafuta usijue kama huyu ndiyo Castr ananitafuta.Kwa wanaume tu mimi nipo private na gharama ni very affordable.
Mkuu ushanikosa siwezi kuruhusu mwanaume mwenzangu anifanyie masaji.Kwa wanaume tu mimi nipo private na gharama ni very affordable.
Kaka kama nakuona vile povu lilivyokutoka jamaa alivyosema hatoi nambaMjinga mimi au wewe unayepewa huduma na malaya halafu unakuja kujitangaza humu!
Wenzio wakifanya wanakaa kimya, sasa eti ooh mimi nimekaa tu natumiwa meseji ya kupewa massage ...!
Halafu ukute wewe mwenyewe ndo mtoa huduma wa massage unakuja kutuzuga humu.
Yale Yale ya www nairobiraha.Nchi zilizoendelea mambo hayo mbona kitambo.
Sisi ndio kwanza tunaiga.
Wewe unafikiri umeingia ugenini kurupu na una hamu ya kumuingilia Mtu Kimwili utafanyaje?
Yaani pale Hotel unakuta matangazo na mawasiliano, au kama ni Tovuti utakuta zimeorodheshwa, unaingia kwenye Tovuti unajichagulia umtakae, unachukua na mawasiliano yake.
Kisha unaruka hewani, anakutajia na gharama zake, kama umeafiki.
Unamuelekeza Hotel uliofikia, anakuibukia na zaga zaga zote. Kuanzia mafuta ya kuchua/kuukanda mwili N.K.
Kwahiyo hapo unakandwa na unamuingilia Mtu Kimwili vile vile, na kuna burudani nyingi tu zinapatikana. Maelewano yenu tu.
Hao wakandaji, hiyo kukanda ni Gia tu. Ukweli ni kwamba wanauza Miili.
Mambo ya Escorts and Massages hayo
Kaka kama nakuona vile povu lilivyokutoka jamaa alivyosema hatoi namba
Heee wako makini sana wengine ni wasomi wa digrii, bila kondom humuingilii, tena anazo yeye na anakuvalisha. Upoo?50k mara siku 30 huyu humkuti sema ina risk ya ngoma
Kuna mademu kenya wamejenga mpaka gorofa kwa biashara hii. Mzungu anajichanganya anaibiwa pesa na passport. Akienda kushtaki kwanza unaulizwa pasport.Heee wako makini sana wengine ni wasomi wa digrii, bila kondom humuingilii, tena anazo yeye na anakuvalisha. Upoo?
Hahah sawa mkuu[emoji2] [emoji2] hapana brother nataka massage tu.