Wadada waja na huduma ya Mobile Massages service

Wadada waja na huduma ya Mobile Massages service

Yani sista duu anakuPm na kukueleza hii huduma yake na bei. Anakupa no ya cm. Ukimuhitaji anakuja fasta.
3e0477b20bcb2e9f60c4bb54ab548b07.jpg

Lakini leo nimeshangaa mdada kanipm kanielezea hii hudama. Kuchek kwenye profile yake ni graduate wa chuo flani. Kuna picha za graduation kwenye Profile yake. Kavaa joho. Sasa Kama hata graduates wamefikia hatua ya kuanza hii biashara basi ni hatari. Kweli mkulu kakaza.

Hii story umeileta kufanya matangazo, uombwe namba!

From no where mtu anakutumia SMS eti aje akufanyie massage, labda wewe mwenyewe ndo uwe umeanza kutangaza kwamba unataka massage na muhusika akaliona tangazo lako.

Lakini hawezi kutoka alikotoka akaja kwako straight kukutangazia biashara.

Umesomeka mkuu.
 
Baki hivyo hivyo na ujinga wako
 
Mjinga mimi au wewe unayepewa huduma na malaya halafu unakuja kujitangaza humu!

Wenzio wakifanya wanakaa kimya, sasa eti ooh mimi nimekaa tu natumiwa meseji ya kupewa massage ...!

Halafu ukute wewe mwenyewe ndo mtoa huduma wa massage unakuja kutuzuga humu.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mjinga mimi au wewe unayepewa huduma na malaya halafu unakuja kujitangaza humu!

Wenzio wakifanya wanakaa kimya, sasa eti ooh mimi nimekaa tu natumiwa meseji ya kupewa massage ...!

Halafu ukute wewe mwenyewe ndo mtoa huduma wa massage unakuja kutuzuga humu.
Hivyo hivyo na ujinga wako. Tunasemaga aliyelala muache aendelee kuota.
 
We u nashangaa hapo, watu wanakula blonde red light Holland 50 euro bao,ukizama ndani sasa vikorombwezo mpk tigo 200 euro inakwenda.
Ila unatafuna vyombo mubashara hamna kwere wala ukurutu.
 
Hii story umeileta kufanya matangazo, uombwe namba!

From no where mtu anakutumia SMS eti aje akufanyie massage, labda wewe mwenyewe ndo uwe umeanza kutangaza kwamba unataka massage na muhusika akaliona tangazo lako.

Lakini hawezi kutoka alikotoka akaja kwako straight kukutangazia biashara.

Umesomeka mkuu.
Mkuu hata mimi nimetumiwa simjui wala hanijui, isipokuwa wanaangalia watu kwenye insta ndiyo wanakutumia, na wanatuma kwa wanaume tu. Japo nasikia kuna wanaume wanawatumia kina mama wa mjini
 
Nchi zilizoendelea mambo hayo mbona kitambo.

Sisi ndio kwanza tunaiga.

Wewe unafikiri umeingia ugenini kurupu na una hamu ya kumuingilia Mtu Kimwili utafanyaje?

Yaani pale Hotel unakuta matangazo na mawasiliano, au kama ni Tovuti utakuta zimeorodheshwa, unaingia kwenye Tovuti unajichagulia umtakae, unachukua na mawasiliano yake.

Kisha unaruka hewani, anakutajia na gharama zake, kama umeafiki.

Unamuelekeza Hotel uliofikia, anakuibukia na zaga zaga zote. Kuanzia mafuta ya kuchua/kuukanda mwili N.K.

Kwahiyo hapo unakandwa na unamuingilia Mtu Kimwili vile vile, na kuna burudani nyingi tu zinapatikana. Maelewano yenu tu.

Hao wakandaji, hiyo kukanda ni Gia tu. Ukweli ni kwamba wanauza Miili.

Mambo ya Escorts and Massages hayo
 
Back
Top Bottom