Wadada wa Kitanzania wanaotamba katika filamu

Charity, kwenye blue hapo hapakwepeki

Kumcha Bwana ndio mwanzo wa hekima. Zaburi 111.10a

Ni kweli mtumishi,ukiunganisha na signature yako mambo yatakuwa mazuri sana.
btw ,Hongera san,maana spidi yako siiwezi una award 2 na ww umejiunga February?
 
Yaani unampongeza kwa wizi wake?
 
mweeeeeeeeeeeeee! Ikisu hiki!!!! Ndaga Kyala.
Yani mie nilizani wapo bize na maombi kumbe..........

eeeh mamaangu ujionee mwenyewe afu naambiwa niombe radhi kwa kusema ukweli

sikjuaga ukweli nao ni kosa.......
 
Kidogo kidogo ntaelewa.

Haya turudi kwenye mada sasa: Mi nampenda sana mwigizaji Aisha Madinda.
 
Kumcha Bwana ndio mwanzo wa hekima. Zaburi 111.10a

Ni kweli mtumishi,ukiunganisha na signature yako mambo yatakuwa mazuri sana.
btw ,Hongera san,maana spidi yako siiwezi una award 2 na ww umejiunga February?

ubarikiwe na Bwana Charity
 
Kibongo bongo kweli na kukupaste excellent but bwana wanvyojiweka(mapozi na mavazi) too much sio kioo cha jamii kama sanaa inavyotakiwa kuwa.Wajirekebishe
 
zitaje hizo hasira tuone kama zitajustifai kuninyima.......
1. Hunikumbuki 2. Hujaninunulia valuu 3. Hunimisi tena siku hizi

eeeh mamaangu ujionee mwenyewe afu naambiwa niombe radhi kwa kusema ukweli

sikjuaga ukweli nao ni kosa.......
Bado nasubiri untake radhi. Nihesabu?

FL1 mwenyewe kapunguza spidi.cku hizi 'no komenti'ndio maana mwenzie kachukua kombe.
Ukiona hivyo ujue mkoloni kabana. Huyo ICU mwizi sana. Anamwibia mkoloni wake muda. Hastahili kupewa hongera.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom