Sio siri kama unataka mwenza classic kwenye tabia flaniflani, wadada wa kichagga ni kiboko.
Ukitaka mashepu ya kibantu yapo Machame, ukitaka wazuri wa sura wapo Marangu, Ukitaka wapole wa tabia wapo Tarakea na Usseri (Rombo), ukitaka wachakarikaji ni wachagga wote lakini hasa mashati (Rombo), ukitaka sauti za kubembeleza nenda Uru au Mkuu (ila uwe makini manake hazi-reflect upole), ukitaka vichwa madarasani na maishani nenda Rombo Marangu ukitaka weupe, warembo, n.k ila kama humaindi miguu, wachaga ni saizi yako.
Lakini; Wachagga (wadada) hawajui mapenzi.
Wadau wengi wanasema wadada wa kichaga ni malimbukeni kwenye mapenzi, ni waoga, ukiwa nao chumbani utadhani unaamrisha kikosi jeshini, sio wabunifu wa vionjo vya mapenzi... Yani unaweza kuingia chumbani na mwanamke mchaga kwa lengo la malavidavi, gafla anaanza kukuambia "yani aisee haya mashuka yalivyo mazuri ungeyatembeza kule kibosho kuuza utapata hela, yani mamdogo manka ametajirika hivi hivi kwa hii biashara"....
Wadada wa kichaga, badilikeni banaa.. sio fresh.