Jahlex
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 512
- 604
Habari wanajf,
Kwa wale ndugu zangu wenye shida ya wafanyakazi wa ndani(wadada wa kazi) umri miaka 18_22.
Wenye uzoefu,waaminifu na wenye tabia nzuri wanapatikana(utatafutiwa anayekufaa).
N.B
~Mshahara maelewano ila si chini ya 50,000/
~Apatiwe huduma za malazi,chakula,mavazi,ulinzi na afya bila makato.
~Apatiwe mkataba wa majukumu yake kimaandishi.
~Aishi kama mwanafamilia na afanye kazi katika mazingira rafiki.
~Utatoa 20,000/= kwangu mara tu baada ya mfanyakazi kukufikia.
Karibuni PM wahitaji.