Wadada wa jf njooni hapa

If two people are In love distance can never be a problem
Yeah its does, ila theoretically

Ila love is practically.

Bila ya kuonana na mtu na kushare energy pale mnapoongea kutembea pamoja kwa muda mrefu kama mwaka hivi hio ni kutafuna upepo.

Long distance nyingi zimeangukia pua maana unakuta mtu anakutana na faraja ya karibu yake wewe wa mbali anaanza kukusahau taratibu sasa sema labda ana kitu anachotaka kutoka kwako ambacho ni kama ulevi kwake kama matako makubwa, good sex au pesa nyingi anaendelea kujifanya anakujali
 
That's where patience needs to come in between distanced lovers
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dah ila
 
Sasa ndio uniseme hadi huku mkuu
 
Umeongea sahihi kabisa Mkuu

Ndiyo maana wahenga waliwahi kusema "Fimbo ya mbali haiui Nyoka"

Mwanamke ambaye mnaweza kuendelea kuwa kwenye mahusiano hata kama Mko mbali mbali ni Mkeo tu, tena wenye makaratasi ya Vyeti vya Ndoa.

Hawa wengine wa kuitana baby baby mkiwa umbali wa kilomita 800 ni kujitafutia stress tu na kuharakisha Kifo chako
 
Au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…