Wadada wa jf njooni hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sahivi nna asset za kuni bust kwenye mapenzi.

Sijui km hajutii huko aliko.
Hahaha...........utafanya ajinyonge huko alipo 😜
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi basi gran pah, ntapata kisukari buree.
Niache mambo ya flow vile enyewe yanataka.
Nyie mabinti wadogo kisukari mnakitoa wapi, Kwa umri wenu huo eti Mwanaume akuache ategemee hautakula ama kunywa Kwa kumlilia yeye

Ndiyo kwanza mnaagiza Mbuzi choma mnakaa na marafiki kufurahia kuachana 🙌
 
Nyie mabinti wadogo kisukari mnakitoa wapi, Kwa umri wenu huo eti Mwanaume akuache ategemee hautakula ama kunywa Kwa kumlilia yeye

Ndiyo kwanza mnaagiza Mbuzi choma mnakaa na marafiki kufurahia kuachana [emoji119]
Gran pah, mapenzi hayana formula.
Usijifanye hujui, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…