Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,790
Embu tuambie ni kitu gani kilikutokea au likifanya kwenye mahusihano au ulikutana nacho na ukakifanya end of the day ukajiona mpumbavu baada ya akili yako kuwa sawa
The bar was so low tell us
The bar was so low tell us