Wadada wa instagram na Facebook.

Hela zetu hazinogi
Hela ya kuhongwa tamu asikwambie mtu
Fanya yote ila usije kuniambia kitu kama hicho kwangu, utazimia kwa Kofi baya sana🤣

Mindset ya mtu aliyeshindwa maisha hii
 
MA haters wote nimewachapa KO
😹😹😹 Halafu hukuwa hivi..!!
Unajua ukitulia na kuacha drama una uandishi mzuri na nondo za kutosha..!!

Kwanini usitulie huko kwenye upande wa kujenga hoja fikirishi kuliko hizi mambo?
 
😹😹😹 Halafu hukuwa hivi..!!
Unajua ukitulia na kuacha drama una uandishi mzuri na nondo za kutosha..!!

Kwanini usitulie huko kwenye upande wa kujenga hoja fikirishi kuliko hizi mambo?
Hakika leo umenipa sifa ambayo nilikuwa najua unajua ninayo ila ego yako haiku ruhusu kusema.

Asante sana ewe winga. Ila ni nyie wenyewe ndio mlio ni haribu na kunifanya niwe hivi.

Inabidi mnivumikie kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…