Wadada wa Dsm acheni Usista duu

Wadada wa Dsm acheni Usista duu

aise aise hiyo ni kweli kabisa, wengine wanapoishi choo/bafu hadi wavuke reli, ukutane nae maeneo sasa.
 
Hahaa, kuwa watu ukiwaambia wanaweza kuingia kempinsk na kuhudumiwa bila kuweka fb hawataamini. Bora leo utukatie.kiu.
 
acha waishi wapendavyo ilimradi hawavunji sheria... kwa raha zao.
 
Hahaa, kuwa watu ukiwaambia wanaweza kuingia kempinsk na kuhudumiwa bila kuweka fb hawataamini. Bora leo utukatie.kiu.

mshaekewa benki kimara kwenu???? ukienda mcity utaambiwa unajipitisha pitisha ujue.
 
..fake lives , makes fake people..>>
live ur lyf gals .,,>>
 
Hahaha mtihani kweli


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
vitu vizuri lazima ugharamikie,una mtaka mtoto mzuri harafu unataka umpereke mama nitilie wenye hela zetu tutamchukue.
 
Sijaelewa lengo la mleta thread
ujue hakuna kitu kizuri kama kujipa raha
kama dada akienda huko anajihudumia si mbaya ni hela kazitafuta mwenyewe na hata akipelekwa na mwenye nazo si mbaya maana kampeleka kwa hiari yake
otherwise acha majungu na kama wewe wa mama ntilie ni mama ntilie tu
kwani level 8 nini bwana?nyie ndo mnaotaka sehemu kama hizo waende wazungu peke yao
khaaa
 
Hahaaa actin nyingi sana hawa masista duu wanaboaaa hela ya mafuta wala hawana kutwa kupiga mizinga kwa mapedeshee au waume za watu!!! Ni Ujinga na Ushamba tu!! Lakini wakiwezeshwa wanawezaaa!!!!
 
mji wa biashara huu lazima wadada wawe hot utamkaribisha vipi mgeni wakat we mwenyewe umepauka,waooh kwa niaba ya wadada naomba wauza vipodozi na pamba za kike washushe bei tafadhari.
 
Sasa uombe usije oa hiyo type unaweza fia ktk nyumba za kupanga!Kwani mawazo ya maendeleo huwa hakuna kabisa,na ukiwa mkali ataona unambore!Maana mtu yuko tayari aishi hata kwa madeni ili aendelee kuonekana yuko juu,na hata sisi wanaume kuna baadhi wako hivyo,unakaa ktk vyumba vya uwani lakin unamiliki prado unalopaki ccm.
 
Hivi baadhi ya wadada wa Dar wanajua kuwa Housewives of Atlanta wanalipwa kuishi
maisha wanayoishi? Maana siku hizi almost kila demu dar anaishi kwa "kuact". Mshahara
wenyewe wa madafu halafu kila leo utasikia "brunch at double-tree", "drink at Serena",
"meeting friends at Level 8". Ok, lets get this straight, YOU ARE NOT Nene Leaks, LIVE YOUR
LIFE, STOP ACTIN

hii ndiyo hoteli inayotiririsha kinyesi baharini? brunch ni "menu" gani hiyo?
 
y asijinafsi wakati nyie wenyewe mnawawezesha na tena unapo mtongoza dem unajifanya matawi ya juu kwa hiyo lzmumpeleke sehem inayo endana na uwezo wako kilingana na majigambo yako
 
Sijaelewa lengo la mleta thread
ujue hakuna kitu kizuri kama kujipa raha
kama dada akienda huko anajihudumia si mbaya ni hela kazitafuta mwenyewe na hata akipelekwa na mwenye nazo si mbaya maana kampeleka kwa hiari yake
otherwise acha majungu na kama wewe wa mama ntilie ni mama ntilie tu
kwani level 8 nini bwana?nyie ndo mnaotaka sehemu kama hizo waende wazungu peke yao
khaaa
kila mtu ana maisha yake..hiyo serena imejengwa ya nini?
 
Hivi baadhi ya wadada wa Dar wanajua kuwa Housewives of Atlanta wanalipwa kuishi
maisha wanayoishi? Maana siku hizi almost kila demu dar anaishi kwa "kuact". Mshahara
wenyewe wa madafu halafu kila leo utasikia "brunch at double-tree", "drink at Serena",
"meeting friends at Level 8". Ok, lets get this straight, YOU ARE NOT Nene Leaks, LIVE YOUR
LIFE, STOP ACTIN
Hahahah! Mi huwa nawaektia masista duuh wa aina hiyo afu wakija sanda game nimeshapumzika kama mara 52 elfu hivi...!
 
umesahau mizinga mkuu, wanapiga hao,mbona utaomba poo,poor em.....!!!
 
well i do have a serious problem kusema kweli...mie mwenzio hii kitu ya utamu imenikamata akili balaa, yaani acha tuu!!! i just love papuchi its ana addiction to be honest
Pole sana, jaribu kumuona Kakobe akufanyie maombi.
 
tunawawezesha sisi wenyewe. wacha wale bata. ukiangalia matumizi ya kidume kwake unaweza anguka. Rafiki yangu anavuta mkwanja mkubwa sana mwisho wa mwezi tena dolari. kuna siku alivuta calculator na kukumbuka figure chache tu zilizoenda kwa vidosho vyake (hana mmoja), aligundua 56%% ya salary inahamia huko. chezea utamu weye.
Endeleeni kuishi maisha ya kisista duu, kwani wanaume bado tupo.

btw wale wenye kuishi na pesa walizosotea wana maisha tofauti kabisa na hao. wanajali lifestyle yao sana. huwezi kuwakuta na artificial life kama hizo. wanajua kuna siku mkwanja waweza kata na mambo haribika!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom