Hahaa, kuwa watu ukiwaambia wanaweza kuingia kempinsk na kuhudumiwa bila kuweka fb hawataamini. Bora leo utukatie.kiu.
Hivi baadhi ya wadada wa Dar wanajua kuwa Housewives of Atlanta wanalipwa kuishi
maisha wanayoishi? Maana siku hizi almost kila demu dar anaishi kwa "kuact". Mshahara
wenyewe wa madafu halafu kila leo utasikia "brunch at double-tree", "drink at Serena",
"meeting friends at Level 8". Ok, lets get this straight, YOU ARE NOT Nene Leaks, LIVE YOUR
LIFE, STOP ACTIN
kila mtu ana maisha yake..hiyo serena imejengwa ya nini?Sijaelewa lengo la mleta thread
ujue hakuna kitu kizuri kama kujipa raha
kama dada akienda huko anajihudumia si mbaya ni hela kazitafuta mwenyewe na hata akipelekwa na mwenye nazo si mbaya maana kampeleka kwa hiari yake
otherwise acha majungu na kama wewe wa mama ntilie ni mama ntilie tu
kwani level 8 nini bwana?nyie ndo mnaotaka sehemu kama hizo waende wazungu peke yao
khaaa
Hahahah! Mi huwa nawaektia masista duuh wa aina hiyo afu wakija sanda game nimeshapumzika kama mara 52 elfu hivi...!Hivi baadhi ya wadada wa Dar wanajua kuwa Housewives of Atlanta wanalipwa kuishi
maisha wanayoishi? Maana siku hizi almost kila demu dar anaishi kwa "kuact". Mshahara
wenyewe wa madafu halafu kila leo utasikia "brunch at double-tree", "drink at Serena",
"meeting friends at Level 8". Ok, lets get this straight, YOU ARE NOT Nene Leaks, LIVE YOUR
LIFE, STOP ACTIN
hahahahahaha hii kali sijapata kuonaaise aise hiyo ni kweli kabisa, wengine wanapoishi choo/bafu hadi wavuke reli, ukutane nae maeneo sasa.
mkuu kula mzigo huo fastaa! Wengine wanajiletaga kwa style hiyo!
Pole sana, jaribu kumuona Kakobe akufanyie maombi.well i do have a serious problem kusema kweli...mie mwenzio hii kitu ya utamu imenikamata akili balaa, yaani acha tuu!!! i just love papuchi its ana addiction to be honest