Wadada wa Dsm acheni Usista duu

Wadada wa Dsm acheni Usista duu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,972
Reaction score
168,467
Hivi baadhi ya wadada wa Dar wanajua kuwa Housewives of Atlanta wanalipwa kuishi
maisha wanayoishi? Maana siku hizi almost kila demu dar anaishi kwa "kuact". Mshahara
wenyewe wa madafu halafu kila leo utasikia "brunch at double-tree", "drink at Serena",
"meeting friends at Level 8". Ok, lets get this straight, YOU ARE NOT Nene Leaks, LIVE YOUR
LIFE, STOP ACTIN
 
sasa labda wanajienjoy kwa kutumia hela wanazopata baada ya kugegedwa...lol
 
Unajueje kama kweli wanaishi maisha ya kuect, wanawake wakiwezeshwa wanaweza na wanawekeza kwa taarifa yako
 
ivi utaendaje kwenye hizo sehemu kama huna pesa?kama mwananaume utampelekaje demu sehemu kali wakati huna chapaa?
 
To be honest kila nikisoma post unazoandika huku jf najiulizaga kama akili yako ni timamu!!serious!!you must have problems!!

well i do have a serious problem kusema kweli...mie mwenzio hii kitu ya utamu imenikamata akili balaa, yaani acha tuu!!! i just love papuchi its ana addiction to be honest
 
Hahahhahahhaa! Kuna demu hana kazi lakini utaskia daladala mi siwezi nachukua cab nikifika hapo nakupigia umlipe.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
well i do have a serious problem kusema kweli...mie mwenzio hii kitu ya utamu imenikamata akili balaa, yaani acha tuu!!! i just love papuchi its ana addiction to be honest

Anyway!!ngoja nikuache,sio makosa yako!!
 
ukiona hivyo ujue kashaanza kumegwa na mapedeshee, nyodo nyingi kama dume la bata
 
Unajueje kama kweli wanaishi maisha ya kuect, wanawake wakiwezeshwa wanaweza na wanawekeza kwa taarifa yako

umesahau ile habari ya waliowezeshwa kwenda china kujiuza aafu wanarudi na skin jeans kuja kuuza bongo?
 
To be honest kila nikisoma post unazoandika huku jf najiulizaga kama akili yako ni timamu!!serious!!you must have problems!!

Kwa kweli hata mie huwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu mzabzab..!! Mambo yake ni kugegeda tuuuu..!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom