KakaKiiza hebu ninong'oneze umetemwa wapi au umetema wapi au una mpango wa kumvizia nani Mamndenyi au Passion Lady au Paloma au Kongosho au gfsonwin au snowhite au sweetlady au Chocs au Nivea au marejesho au Lady doctor au shansarie au Madame B au Evelyn Salt au Dena Amsi au Preta au Blaki Womani au Zion Daughter au King'asti (hapa utapambana na Paw). Ila Dena Amsi usimguse patachimbika hapaKielezavyo kichwa cha habari hii naomba msitulaumu wa baba wa chit chat!kwani babayetu ni mmoja ambaye ni Invisible hivyo hata tabia tunafanana tunapishana padogo kama sehemu ya mtoto anapoanza kukua uchukua mkondo wake kwa ajili ya kuendeleza kizazi chake!!ila hata hivyo tuvumiliane tu!
KakaKiiza hebu ninong'oneze umetemwa wapi au umetema wapi au una mpango wa kumvizia nani Mamndenyi au Passion Lady au Paloma au Kongosho au gfsonwin au snowhite au sweetlady au Chocs au Nivea au marejesho au Lady doctor au shansarie au Madame B au Evelyn Salt au Dena Amsi au Preta au Blaki Womani au Zion Daughter au King'asti (hapa utapambana na Paw). Ila Dena Amsi usimguse patachimbika hapa
Lady doctor wewe ule ushibe,na maneno waseme,usijali wavimbe wapasuke mimi nawe waambie wote wajue,hatuna utani mpaka ndoa ifungwe

ha ha haaaa
ndo matokeo ya ukaguzi yanaanza kuonekana
hongera sana Lady doctor ila ujue mtauana na Madame B kwa kuwa yeye anataka wote wote
hana msalia mtume
@chimbuvu, namisi kumbatio lako.
Come to Me my Dear!
Kielezavyo kichwa cha habari hii naomba msitulaumu wa baba wa chit chat!kwani babayetu ni mmoja ambaye ni Invisible hivyo hata tabia tunafanana tunapishana padogo kama sehemu ya mtoto anapoanza kukua uchukua mkondo wake kwa ajili ya kuendeleza kizazi chake!!ila hata hivyo tuvumiliane tu!
Lady doctor wewe ule ushibe,na maneno waseme,usijali wavimbe wapasuke mimi nawe waambie wote wajue,hatuna utani mpaka ndoa ifungwe