Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,412
- 119,119
Cc espyWatu huwa wanaomba picha,mimi naomba unisaidie location ilipo Mkuu?
Hahahhahahaaaa....nashkuru!!comment bora ya mwaka2019!kudos mkuu!
Hahaha
Haha samahani mkuuHahaha
Mbona unataka kunipererushia ndege wangu, wakati bebee mwenyewe bado hajaelewaka vizuri!
Watu huwa wanaomba picha,mimi naomba unisaidie location ilipo Mkuu?
Abee!
Ili ukafanywe nini?Watu huwa wanaomba picha,mimi naomba unisaidie location ilipo Mkuu?
HahahaIli ukafanywe nini?
Njoo takufanyia mwenyewe, sitaki utani na mali yangu bebee!Hahaha
Bebeee na mimi nilitaka nikajaribu kama alivyofanyiwa mleta uzi
Mweeeeh!!
Unanyia sehemu ya karibuMimi nimeshaacha kwenda hizo saloon miaka mingi nanyia sehem ya kawaida tu
Ulilipa shilingi ngapi mkuu?Hii scrub mpyaaa kabisaa. Amenikalia mapajani huku ananiscrub.
Ananiuliza, "kaka kwani unaumia?"
MTATUFILISI
Sent using Jamii Forums mobile app