Hapo umeongea point.... Kila mwanaume anampenda gal coz ya kitu flan.... Though luv needs no reason """!![emoji56] [emoji56]Usije ukawapotosha watu, kila mwanaume kuna kitu anapenda na usifikir kuolewa had uwe vizur kwenye bed, kuna vigezo ving ikiwepo tabia, na kwenye bed ata kama hajui atamfundisha ,so unataka kusema MTU usiinjoy penz kisa utaulizwa ulijulia wap haya na umejifunzia wap, wakat kwenye mitandao kuna stail kibao za kujifunza, makabila mengine akivunja ungo anafundishwa namna yakumridhisha mume kwa bed nakumtunza nakujitunza yy, mwanaume mwingine ukiwa slow kwa bed hawez kuvumilia na hatokuambia, mahusiano au kuolewa hakuna formula, formula ni umempata mwanaume yup na anataka nn kwako, na mmepanga nn juu ya mahusiano yenu
Kama huyo mwanamume anampenda huyo mwanamke atamuoa,mbona machangudoa wanaolewa
Mtoa mada amekosea... Ameshindwa kujua kwamba kila mtu na mtazamo wake... Kuna waonpenda miuno feni, kuna wanaopenda slow jams...Hayahayaaaaaaaaaaaaaaa
Cc @Smsrt911
[emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aisee unaandika vibaya,na kiingereza chako cha uongo uongo,huwezi kuolewa wewe [emoji23]
Smsrt911 => Smart911Hayahayaaaaaaaaaaaaaaa
Cc @Smsrt911
Tube moteNataomba msaada jinsi ya kupata downloader ya YouTube
Mmh! Hii wanaume wengi wanataka lkn si kwa mke wa kuoa.
Hahahahahha mbavu zangu.. Umeongea kwa hisia sana kama unaonewa vilendugu mtoa mada, kuolewa mbona kunawekewa masharti mengi hivi..kila wiki humu mmu mara thread hii mnasema mwanamke ukitaka uolewe fanya hivi mara fanya vile kwani kuolewa imekuwa kama masharti ya kutoka kwa mganga jamani
Halooooo [emoji108][emoji108]Mi napenda mwanamke anayejituma kitandani bana,the best woman is the one who makes his husband's balls empty