Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

Wanaume wanaompinga mleta mada bado akili zenu hazijawaza ndoa na kutulia chini kuanza maisha.
Bado mpo kwenye kuwaza performance ya kitandani ndo kila kitu kwa mwanamke.

Mauno ya kitandani hayalei watoto wako,,hayawapi wanao maadili mema,hayakupikii chakula,hayakuandalii mahali pa kulala upate kupumzika wala hayakuandai wewe unapotaka kutoka.

Kama ni hivo wanawake wengi wangekua walio wazuri kitandani washaolewa,magogo yamebaki yanahangaika kujifunza mautundu.

Ndoa is beyond viuno kitandani..
 
Anae baby kule anaitwa Transcend wanapendana sana jiandae rafiki kucheza kwaito
Kama nilishapata shemeji nafurahi pia!!.......ila ajiandae kwa mahari nitakayomtajia,atajuta!!........mimi ndo mpanga mahari yaani kama ni kipele basi kimepata mkunaji!!🙂.......mimi siyo mtu wa mchezomchezo linapokuja suala la dada yangu!!
 
Maisha ya u bachelor magumu sana.....kuna siku nilikuwa na mgeni anatoka Dar anakuja mji ninaoishi (Municipal town), sasa kwa hadhi ya mgeni wangu "mtu na mkewe" ikabidi niwatafutie hotel nzuri ya kufikia. Sasa nikafanya window shoping...kuona hotel gani nzuri...nikazama hotel mbili tatu kuona na manzari ya inside /rooms.

Sasa nikatokea kumpenda receptionist mmoja katika hotel moja wapo, akanipa namba yake. Nilimtongoza akakubali although ilichukua kama mwezi kunikubali. Tukapanga apointment, siku tukaingia lodge kula tunda! Kufika ndani nilichokaaa.....yaani ndani ya dk 1 tayari kasaula kila kitu yupo kama alivyozaliwa.....na tayari keshapanua mapaja kitumbua LIVE kinanisubiri.....

Nilichoka...kusogea kadaka mike anaimba nayo , mara kabinuka doggie ....! Nilipomaliza kugonga muhuri sikumtafuta tena hadi leo hii....kuna wadada jamani ni balaaaa...kua uyaone jamaniii
 
hahahh pole sana

Pole rafiki
b3aafa5ed444fdf1cb398b9a0a0752dc.jpg
 
Humu kuna kuchuuzana kupita kiasi, na cha kusikitisha zaidi baadhi humu wanachukua kila kitu kama kilivyo na matokeo yake kuharibu sana mahusiano ya kimapenzi.

ndugu mtoa mada, kuolewa mbona kunawekewa masharti mengi hivi..kila wiki humu mmu mara thread hii mnasema mwanamke ukitaka uolewe fanya hivi mara fanya vile kwani kuolewa imekuwa kama masharti ya kutoka kwa mganga jamani
 
Maisha ya u bachelor magumu sana.....kuna siku nilikuwa na mgeni anatoka Dar anakuja mji ninaoishi (Municipal town), sasa kwa hadhi ya mgeni wangu "mtu na mkewe" ikabidi niwatafutie hotel nzuri ya kufikia. Sasa nikafanya window shoping...kuona hotel gani nzuri...nikazama hotel mbili tatu kuona na manzari ya inside /rooms.

Sasa nikatokea kumpenda receptionist mmoja katika hotel moja wapo, akanipa namba yake. Nilimtongoza akakubali although ilichukua kama mwezi kunikubali. Tukapanga apointment, siku tukaingia lodge kula tunda! Kufika ndani nilichokaaa.....yaani ndani ya dk 1 tayari kasaula kila kitu yupo kama alivyozaliwa.....na tayari keshapanua mapaja kitumbua LIVE kinanisubiri.....

Nilichoka...kusogea kadaka mike anaimba nayo , mara kabinuka doggie ....! Nilipomaliza kugonga muhuri sikumtafuta tena hadi leo hii....kuna wadada jamani ni balaaaa...kua uyaone jamaniii
Na angekuwa gogo ungemuacha pia
 
jamani lengo la kuniita kufanya matusi si ili nipate raha jamani sasa nivue nguo dhambi tayari hiyo dhambi nayo nisiifuraie kweli ni halali? na mfano nikitoka hapo nikapata ajali nikafa direct motoni kweli nyege nibaki nazo moto niupate haloo.. mtupage na sisi nafasi ya kujiachia tu si masharti yote haya ..
mnataka tuje tufue tupike tuoshe vyomo na jiko lako plate moja la kuinama huna hata kibao cha kukatia mboga huna nakatakata kwenye mkono najikata halafu bado kunitia nisiridhike hapana acha nionekane kahaba kama style fulani inanipa utamu haloo nitaikaa tu hata iweje utamu nipate na pesa niombe over

ooh wachaga kifo cha mende kumbe style hamtaki wai .. sasa mnataka nini aisee? mbona matuvuruga sana ?
a
Naomba nikuoe kama bado hujaolewa mpendwa.
 
Ni kweli walikuwa wqnaendesha mbona inavyosemekana waliiweka pembeni kisha shughuli ndio ikaanza katika pulukushani kumbe wakaiweka kwnye D kapo ndio gari ikaingia kwenye bonde na wte wakafaliki dunia.
Ila co mbaya inzi kafia kwnye kidonda
 
Usije ukawapotosha watu, kila mwanaume kuna kitu anapenda na usifikir kuolewa had uwe vizur kwenye bed, kuna vigezo ving ikiwepo tabia, na kwenye bed ata kama hajui atamfundisha ,so unataka kusema MTU usiinjoy penz kisa utaulizwa ulijulia wap haya na umejifunzia wap, wakat kwenye mitandao kuna stail kibao za kujifunza, makabila mengine akivunja ungo anafundishwa namna yakumridhisha mume kwa bed nakumtunza nakujitunza yy, mwanaume mwingine ukiwa slow kwa bed hawez kuvumilia na hatokuambia, mahusiano au kuolewa hakuna formula, formula ni umempata mwanaume yup na anataka nn kwako, na mmepanga nn juu ya mahusiano yenu
mkuu Mashinga umeongea point tupu...
 
Back
Top Bottom