Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

Acha kudangany wenzako bhana. Binafsi nilishawahi kuwa na demu mkali lakni kitandani alikuwa hovyo kabsa. Nilisex naye three times na nikawa namlalamikia juu ya hilo. Baadae nikaachana naye Kwa sababu alikuwa hawezi kuniridhisha. Nashkuru nilimwambia ukweli sababu ya kuachana naye
Hv mwanamke asipojua mambo kitandani aweza achwa eeeh, sijawah sikia hii jmn. Thought mngefundishana na sio kuacha. Ulikuwa na lako jambo
 
mi mwenyewe nikiona mwanamke anaonesha ufundi mwingi mno, huwa narudi nyuma kujiuliza mara mbili mbili, sipendi ujuaji ujuaji mwingiiiii asee.
Mmh wacheni hizo bana. Unapewa utamu wote mpaka vya uvunguni kesho utarudi tena wewe[emoji12]
 
Mmh wacheni hizo bana. Unapewa utamu wote mpaka vya uvunguni kesho utarudi tena wewe[emoji12]
hahaa! not me! kesho sirudi, yaan ntakuhisi ni mgawaji uliye kubuhu mpaka umekuwa fundi hivo, no! no! no!
 
Uhuhuhuhu hujanishauri bado ko niwe gogo kha! Kisa nn kama kuolewa kupo kupo tu na kama hakuna hakuna hiyo si sababu haya mambo hayana formular,raha ya sex wote tuwajibike mambo ya ulokole had kitandan peleka hukoo kama wewe unashindwa kuhimili mikiki wapo wenzio wanaoweza ila hiyo si sababu ya kutoolewa at pole aisee i
 
nilikutana na dame mmoja wa kimakonde, kweli kuna watu wanafunzwa wakafunzika aisee mweeh!
 
Usipo Kata viuono wanasema unalala km gogo....ukikata oooh kahaba sasa t uwaeleweja
 
ndugu mtoa mada, kuolewa mbona kunawekewa masharti mengi hivi..kila wiki humu mmu mara thread hii mnasema mwanamke ukitaka uolewe fanya hivi mara fanya vile kwani kuolewa imekuwa kama masharti ya kutoka kwa mganga jamani
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16] duh nimecheka jamani wanawake tunaonewa kweli
 
jamani lengo la kuniita kufanya matusi si ili nipate raha jamani sasa nivue nguo dhambi tayari hiyo dhambi nayo nisiifuraie kweli ni halali? na mfano nikitoka hapo nikapata ajali nikafa direct motoni kweli nyege nibaki nazo moto niupate haloo.. mtupage na sisi nafasi ya kujiachia tu si masharti yote haya ..
mnataka tuje tufue tupike tuoshe vyomo na jiko lako plate moja la kuinama huna hata kibao cha kukatia mboga huna nakatakata kwenye mkono najikata halafu bado kunitia nisiridhike hapana acha nionekane kahaba kama style fulani inanipa utamu haloo nitaikaa tu hata iweje utamu nipate na pesa niombe over

ooh wachaga kifo cha mende kumbe style hamtaki wai .. sasa mnataka nini aisee? mbona matuvuruga sana ?
a
Loooh!!!kazi ipo
 
Nilishaingia na demu tuliyejuana ndan ya siku mbili guest,tukapatana naenda kugegeda mzg kwa mara ya kwanza Kitendo cha kuingia choon 4 short Call, Kutoka demu kavua nguo zote kajilaza kitandan Anaomba nimnyoe nanihii zake huko chini a.k.a Mkuranga kwake, Nikamwambia subr nikachukue Wembe mwingne Hapo nje mana huo mmoja waweza usitoshe, Nilitoka nduki mpk reception nikamlipia asipate aibu, nikaita boda boda akaniuliza broo unaenda wap nikamwambia haraka haraka popote unapoona n duniani mana nahc nilikua jehanam,
 
Back
Top Bottom