Wadada tusilazimishe ndoa

Especially kwa era hii ya Magu,kauli ya kujipanga itatumika zaiiiDi maana furushi Halionekani+Vitu bei top..ss Unaanzaje kuoa ilhali Ramani hazisomeki, uatajikuta unaolea Wana tu
 
Especially kwa era hii ya Magu,kauli ya kujipanga itatumika zaiiiDi maana furushi Halionekani+Vitu bei top..ss Unaanzaje kuoa ilhali Ramani hazisomeki, uatajikuta unaolea Wana tu
ila mkuu wanasema wazoefu wa haya mambo kuwa kuoa sio kuwa na kazi,pesa,nk kikubwa tu uwe na sehemu ya kulala binti anayekupenda jamvini mtalala pia atatoa ridhiki kulingana na waliopo katika nyumba yako. vipi imekaaje iyo mkuu. kwani hujawahi ona kijana yupo single ila kula yake ni ya taabu ila kuna mtu anategemewa na watu kama 20 na wote wanaishi
 
True Mkuu..
Sema suala la uchumi ktk mahusiano ni factor ya Msingi sana, uchumi km haujakaa vizuri ni asilimia nDogo sana ya wanawake wenye Nadhiri ya kweli ya kuishi na wanaume wa Namna hiyo,..
yaap maana True love is unconditional so ni issue ambayo Iko 50/50 or 60/40 inacheza pote
 
ila wachache sana kukupenda ukiwa hauna hela na hapo ndo wa kumjua anayekupenda na je ukiwa na pesa si atakuja kukuacha mkuu
 
ila wachache sana kukupenda ukiwa hauna hela na hapo ndo wa kumjua anayekupenda na je ukiwa na pesa si atakuja kukuacha mkuu

Na nyie wanaowapenda mkiwa kwenye mawe huwa mnawavuruga mkifanikiwa.
 
daa umenikumbusha kuna dada nilikuwa napenda kumpa lifti nikiwa natoka kazini mala kwa mala basi siku moja nikaona ngoja nisafishe maneno yangu kwake si akakubali nikawa nampeleka geto chaa ajabu hata akija saa nne usiku unakuta mala anadeki kuanzia sebuleni paka chumbani wakati kuna mdada hua namlipa anakuja kila baada ya siku tatu kwaajili ya kunifuria na usafi wa ndani sasa basi siku moja nikiwa nacheki facebook ndipo nilipo shangaa mapicha yangu yote kayajaza kwenye account yake huku akijipambanua kuwa mme wake mtarajiwa ilikuwa kazi kumuacha huyu mtu jamani dada zangu kama mwanaume anataka kukuoa mwenyewe tu utamuona haina hata haja ya kumkumbusha
 
hahahhh kwahiyo ilibidi tu umuoe kwa kulazimishwa
 
una maisha kama yangu.. mimi nina mdada namlipa anakuja kunifanyia usafi na kunifulia na kwa wiki mara mbili...

ila nyumba yangu ni safi mda wote nashukuru huyo dada anajitambua... nachoshangaaga ukija na mwanamke gheto anajifanya kusaidia kusafisha nyumba wakati anaona kabisa ni safi.... hizi ndoa hizi ni balaa kwa kweli

 
aiseee
 

kuoa sio jambo la kukurupuka wadada wanapenda mashela kuliko ndoa...

kuna mmoja sijawaza hata kumuoa siku tunapita sinza ananionesha bonge la duka limejaa mashela limeandikwa lydia sijui jonia eti ndipo atanunua shela lake hapo la harus yetu..

yaani mtu hawazi kuandaa maisha hata umalize ujenzi yeye anawaza sherehe na shela
 
hahahhh Lydia's wedding huyo kiboko mpk duka alishachagua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…