Wadada tusilazimishe ndoa

Wadada tusilazimishe ndoa

Wanawake wanaoulizia ndoa... Waache waulizie...
Labda kama mwanaume hana dalili wala mpango nae. Kuna wanaume Wana beg kabisa yani Kila kukicha tuoane tuoane khakhaakhaa the world is not fair aseeeh
 
Labda kama mwanaume hana dalili wala mpango nae. Kuna wanaume Wana beg kabisa yani Kila kukicha tuoane tuoane khakhaakhaa the world is not fair aseeeh
Sometimes ni vizuri kukumbusha... Kuna kamsema kanasema...

If get free milk why buy the cow...
 
Siyo kukaza as such but kukumbushia siyo mbaya Super dear.... Kama mimi nakuruhusu nikumbushie hata kila dikaka....
Si mpaka nikukumbushe lakini
Maamuzi yote na mamlaka yapo juu yako siunajua??
 
Shunie...


Waambie na wale ambao wanapata nafasi za kuolewa afu wanajifanya madada-town

Mwisho wanakuja kusumbua kanisani...
 
Mpe pole shoga ako aseeh.

Ila naona kama mnatutafsiri vibaya. Kwani kuwa na kazi nzuri na kila kitu ndiyo guarantee ya kuoa?


Mwisho kwa waliopo katika uchumba wajue Sio kila mahusiano yanaishia kwenye KUOANA.

Asanteni kama kuna swali niulizwe haraka.
mbn unatutisha. Swali ni kwamba kwanini Uanzishe mahusiano na MTU ambaye huna malengo naye??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom