Wadada tusilazimishe ndoa

Wadada tusilazimishe ndoa

nitamfata PM usijali niachie huyu namweza mwenyewe japo anaonekana kukana

Ha ha ha wala huna haja ya kuja piemu ni shunie kukuweka sawa swal why shunie akufiche kitu kama hcho why why shunie ana nn na wewe lakin?
 
Shunie ndio maana nlisemq tutaharbu mada u see nmetoa jibu hutak kuwapa watu jibu kwel
haujanipa jibu mm we jibu hapa tatizo nn au subili thread yako soon inakuja
Ha ha ha wala huna haja ya kuja piemu ni shunie kukuweka sawa swal why shunie akufiche kitu kama hcho why why shunie ana nn na wewe lakin?

Hiv nmeshawah kukudanganya au kusema uongo au kumsingzia mtu swal ni kwann shunie hatak kukwambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom