Wadada, tengenezeni wapenzi wenu

Wadada, tengenezeni wapenzi wenu

Yaani tuumize kichwa tutafune naye tukiachwa akaend kulishwa mwingine.
Let me tell you the truth malaya vimada girlfriends hao ndio wanakula vinono.
Wake za watu ndio wanaishilia khanga moja na kipigo visunyo na fedheha za kila saa.
Unajua why wanakaaga maana walishamwaga maji lazima waogee.

Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha kwa mtazamo wako unashauri kutafuta aliyefanikiwa au yule wa kuanza naye chini?
 
Kwa nini na nyie msitafute hela zenu. Kwa nini unataka mtu mwingine akutumizie yale unayoyaota?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hatafutwi wakuchunwa kijana anatafutwa anaejiweza + nachojiweza = kuishi maisha sio kuwa msindikiza maisha
 
Nilijua tuumbe watu kumbe tuanze nao chini mpaka juuu!!???

Sawa sio tatizo .....ila kuna kale katabia akifika juu anakwambia haukua type yangu analeta chuma kikaliiii then wewe mtafutaji unatimuliwa .....je ikitokea hivyo naruhusiwa kumuua huyo mtu au siruhusiwi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahaah nimecheka sana, mkuu kwa heshima na taadhima isiyorasmi unaruhusiwa kufanya hivyo, ila dah umenichekesha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilijua tuumbe watu kumbe tuanze nao chini mpaka juuu!!???

Sawa sio tatizo .....ila kuna kale katabia akifika juu anakwambia haukua type yangu analeta chuma kikaliiii then wewe mtafutaji unatimuliwa .....je ikitokea hivyo naruhusiwa kumuua huyo mtu au siruhusiwi?

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 unaruhusiwa kumuombea zaidi ili wenge limtoke tu kwanza
 
Je ikitokea na wewe umemaliza kusomeshwa then unaamua kumuacha,je anaruhusiwa kukuuwa?
😂😂😂 mchumba asomeshwi. Katiba iko wazi kuhusu hilo imefafanua majanga yote kuhusu madhara ya kusomesha
 
Tatizo bana wanaweza kumkuta mtu mchafu choka mbaya wakamtengeneza akaanza kuonekana handsome, mwisho wa siku masista du wanampora na wewe unaanza kumuona mpenzi wako wa kwanza kilaza😂😂😂
Utakuwa huna shukrani, i hate that. Mie mwanamke alievumilia dhiki zangu ndie atakae enjoy pepo yangu pia.
 
Kwa nini na nyie msitafute hela zenu. Kwa nini unataka mtu mwingine akutumizie yale unayoyaota?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwangu mie mwanamke wa hivyo ni mwanamke wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye anga zangu. And trust me, kama utaamua kuwa na mwanamke ambae amefata unafuu wa life (shopping,butters & fame) kupitia maisha mazuri au makubwa ulionayo jua siku ukifulia uwezekano wa yeye kukuanzishia vituko na timbwili timbwili ni 98%!!! Akilini mwake atawaza yani kwanini huna tena, how will she live? bila kujali situation zilizokukabili, masimango dharau kejeli na usaliti vitachipukia hapo.

Ila yule alievumilia hadi ukafanikiwa hata ukiyumba hawezi fadhaika maana anajua mtapata tu! Maisha ni kupanda na kushuka. Atakupa moyo na support zaidi ili msimame upya na atakuwa radhi kukufichia aibu kwa muda wote hadi pale utapo stabilize.
 
Nilijua tuumbe watu kumbe tuanze nao chini mpaka juuu!!???

Sawa sio tatizo .....ila kuna kale katabia akifika juu anakwambia haukua type yangu analeta chuma kikaliiii then wewe mtafutaji unatimuliwa .....je ikitokea hivyo naruhusiwa kumuua huyo mtu au siruhusiwi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe sio chuma kikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mie mwanamke wa hivyo ni mwanamke wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye anga zangu. And trust me, kama utaamua kuwa na mwanamke ambae amefata unafuu wa life (shopping,butters & fame) kupitia maisha mazuri au makubwa ulionayo jua siku ukifulia uwezekano wa yeye kukuanzishia vituko na timbwili timbwili ni 98%!!! Akilini mwake atawaza yani kwanini huna tena, how will she live? bila kujali situation zilizokukabili, masimango dharau kejeli na usaliti vitachipukia hapo.

Ila yule alievumilia hadi ukafanikiwa hata ukiyumba hawezi fadhaika maana anajua mtapata tu! Maisha ni kupanda na kushuka. Atakupa moyo na support zaidi ili msimame upya na atakuwa radhi kukufichia aibu kwa muda wote hadi pale utapo stabilize.
Mzee tuna kazi kweli kweli. Na haya unayoyaona ndio mawazo ya wengi wao.
 
Kila mmoja hataki ku sacrifice kwa ajili ya kutengeneza future kwa pamoja. Wengi humu wanataka wachume matunda tu na kuinjoy kivuli bila kujua hussle za kuchimba shina, kupanda mche na kuumwagilia hadi pale mti unapokuwa mti!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom