Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,335
Ni vizuri kama mnazijua akili zenu maana hata sisi wenyewe akili zenu hatuzijui huwa tunajiuliza sanaHahha sisi wanaume tunachange mda wwte huna pesa dada wa watu hadi anakusaidia ila ukitoka tu kimaisha unapiga chin au unaanza mtesa wanaume bhana akil zetu tunajua sisi wwnyew tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijui huwa mnakwama wapi
Sent using Jamii Forums mobile app