Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,605
Msg sent...Wadada wengi wanapenda kuwa na wapenzi ambao wako vizuri kiuchumi,bila kujua kuna aliyetaabika au kuvumilia na kumtengeneza huyo muhusika na kuonekana machoni mwao.
Kufanya hivyo ni utapeli na kutomtendea haki 'the founder'.
Nawashauri dada zangu, tafuteni chokambaya umtengeneze na baadaye ule matunda halali ya nguvu zako au uvumilivu wako
Ruksa kabisa tena ruksa na nusu na vitendea kazi njoo nikupatieNilijua tuumbe watu kumbe tuanze nao chini mpaka juuu!!???
Sawa sio tatizo .....ila kuna kale katabia akifika juu anakwambia haukua type yangu analeta chuma kikaliiii then wewe mtafutaji unatimuliwa .....je ikitokea hivyo naruhusiwa kumuua huyo mtu au siruhusiwi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatafuta njia ya kumkomesha lkn co kumuuaNilijua tuumbe watu kumbe tuanze nao chini mpaka juuu!!???
Sawa sio tatizo .....ila kuna kale katabia akifika juu anakwambia haukua type yangu analeta chuma kikaliiii then wewe mtafutaji unatimuliwa .....je ikitokea hivyo naruhusiwa kumuua huyo mtu au siruhusiwi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ni kujiendekeza tu na kuendekeza dhambi.Masoud kipanya : hakuna mwanaume anaeridhika na mwanamke 1 labda awe broke
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.
Sent using Jamii Forums mobile app