Wadada, tengenezeni wapenzi wenu

Wadada, tengenezeni wapenzi wenu

Nilijua tuumbe watu kumbe tuanze nao chini mpaka juuu!!???

Sawa sio tatizo .....ila kuna kale katabia akifika juu anakwambia haukua type yangu analeta chuma kikaliiii then wewe mtafutaji unatimuliwa .....je ikitokea hivyo naruhusiwa kumuua huyo mtu au siruhusiwi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hili ndilo linalowafanya msianze nao chini?
 
Tatizo choka mbaya mpk kwenye akili mtu hana kitu ila majigambo na kupenda kupewa kama kote aki tutapambana hukohuko kwa wanaojiweza

Kwa nini na nyie msitafute hela zenu. Kwa nini unataka mtu mwingine akutumizie yale unayoyaota?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huwa mnapenda sana kujitetete na kumsingizia shetani...hakuna cha majaribu wala nini mnajiendekeza tu...mnafikiri sisi hatukutani na wanaume wazuri tukawatamani na tukatamani kuwa nao? Hamjaamua tu kuji-control, mkiamua inawezekana. By the way kama mnataka kuombewa kisa mnakutana na majaribu, na sisi mtuombee pia maana tunakutana na majaribu vile vile!
Ha ha ha ha ha ha
 
Nyie nyie wanaume labda asiewajua,, mtu una majukumu lukuki lakini bado mnatupa ndoano pande nyingine.......saiv naishi na nyie kwa huruma tu pale mlipotokea nadhani kuna kitu mnakiachaga labda

Sent using Jamii Forums mobile app
Kapeace umenigusa sana mimi kama mwanaume. Yaani ni kweli kabisa.Mmimi nafkiri ni nature tu ndo inatufanya tuwe hivo. Yaani unakuta huku ada za watoto kodi ya nyumba matumizi ya kila siku home bado hauja fulfill bado wazazi wako na ndugu zako huko kijijin wanakutegemea na kipato hakitoshelezi yote hayo. ..lakini bado totoz tunahonga. Daah aisee Tunaomba muendelee kutuombea sana
 
Wadada wengi wanapenda kuwa na wapenzi ambao wako vizuri kiuchumi,bila kujua kuna aliyetaabika au kuvumilia na kumtengeneza huyo muhusika na kuonekana machoni mwao.

Kufanya hivyo ni utapeli na kutomtendea haki 'the founder'.

Nawashauri dada zangu, tafuteni chokambaya umtengeneze na baadaye ule matunda halali ya nguvu zako au uvumilivu wako.
Hiyo hautuusu kama wapo watachunwa tu ila kwa sasa no maongezi nipesa tu.
Eti we malaya mbona hawakosi dau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha haya wachuneni tu
Yaani tuumize kichwa tutafune naye tukiachwa akaend kulishwa mwingine.
Let me tell you the truth malaya vimada girlfriends hao ndio wanakula vinono.
Wake za watu ndio wanaishilia khanga moja na kipigo visunyo na fedheha za kila saa.
Unajua why wanakaaga maana walishamwaga maji lazima waogee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom