Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,453
- 25,168
Shetaniiii Hahahahaha hapana kwakweliIkitokea hivyo ujue shetani amepita
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetaniiii Hahahahaha hapana kwakweliIkitokea hivyo ujue shetani amepita
Dada, ondoa hiyo dhana kwenye akili ya kwamba ukianza na mwanaume choka mbaya akifanikiwa atakukimbia, au atakuwa na tabia mbaya . kila kitu kinawezekana kabisa kuwa chema. Ila ni mtazamo wako wewe mwenyewe unaeingia katika aina hiyo ya mahusiano au kama ndiyo umempata mwanaume wa hivyo , usianze kuingia au kuwa na mawazo ya akifanikiwa atakukimbia, maana kwa kuwaza hivyo ndivyo itakavyokuwa, maana umeshamtengeneza mawazoni mwako.Sio kumtengeneza tuu,.na kumuombea pia kama unampenda kweli,unadhani ni wote unaoanza nao from zero to hero wanabaki vilevile[emoji2]??wengine wanabadilika wakishakua ma hero lol..
Wee mwanamke nakusaka kila kona sikupati, kila ninapofika naambiwa ulikuwepo.Sio kumtengeneza tuu,.na kumuombea pia kama unampenda kweli,unadhani ni wote unaoanza nao from zero to hero wanabaki vilevile😃??wengine wanabadilika wakishakua ma hero lol..
Ndio maana nikasema wengine,sio wote kuna watu wana utu na ubinadamu hawasahau walikotoka,Mali haziwapumbazi..lakini hayo tumeyaona na kuyasikia kwa watu,mwanaume baada ya kufanikiwa ndani hapakaliki nanga zinapaa...Dada, ondoa hiyo dhana kwenye akili ya kwamba ukianza na mwanaume choka mbaya akifanikiwa atakukimbia, au atakuwa na tabia mbaya . kila kitu kinawezekana kabisa kuwa chema. Ila ni mtazamo wako wewe mwenyewe unaeingia katika aina hiyo ya mahusiano au kama ndiyo umempata mwanaume wa hivyo , usianze kuingia au kuwa na mawazo ya akifanikiwa atakukimbia, maana kwa kuwaza hivyo ndivyo itakavyokuwa, maana umeshamtengeneza mawazoni mwako.
Ukitaka uwe na uhusiano wenye mafanikio na aina hiyo ya mwanaume usiwe na mawazo hasi, maana siyo wote wabaya au wanatabia mbaya. Mwisho kila jambo unatakiwa umtangulize MUNGU kwa maombi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo rafiki,.japo nilikuwa adimu kiduchu,.mambo ako?!Wee mwanamke nakusaka kila kona sikupati, kila ninapofika naambiwa ulikuwepo.
Poa kabisa, Pete yako naiandaa, hivi punde!Nipo rafiki,.japo nilikuwa adimu kiduchu,.mambo ako?!
A, Kwan nilivyoondoka tu kuna jamaa walianza kukusumbua kukuvisha bila ridhaa yangu.Pete ipi B??😅
Mmh...hapana hapakutokea yeyote yule,.A, Kwan nilivyoondoka tu kuna jamaa walianza kukusumbua kukuvisha bila ridhaa yangu.
Safi, moyo wangu mweupeee!!Mmh...hapana hapakutokea yeyote yule,.
Hahahahha Barieda jamaniii,.Safi, moyo wangu mweupeee!!
Huu urimbo wako, haujawahi niacha salama fundi wangu!!! Ahahaha punguza angalau kidogo basi.....Wewe hujui kuwa hata hapo ulipofika ni kwa neema tuu,tena unastawi pengine kwa maombi ya hata usio wajua ukiachia wazazi wako..
Kumuombea mtu wala si dhambi,.tumefundishwa upendo pamoja na kuombeana mema na wala si mabaya.
Huwa mnapenda sana kujitetete na kumsingizia shetani...hakuna cha majaribu wala nini mnajiendekeza tu...mnafikiri sisi hatukutani na wanaume wazuri tukawatamani na tukatamani kuwa nao? Hamjaamua tu kuji-control, mkiamua inawezekana. By the way kama mnataka kuombewa kisa mnakutana na majaribu, na sisi mtuombee pia maana tunakutana na majaribu vile vile!ha ha ha ha wanaume wanapitia majaribu mengi sana....ni vizuri muwaombee.Kwa sababu yeye akimuona mtoto mzuri tu lazima moyo wake ushtuke ni tofauti na nyie mpaka mpeleke hisia.
Kwanza hao choka Mbaya huwa hawana shukrani.Waki uograde kiuchumi wanataka ku upgrade na Mwenza.Kwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akifilisika huwezi kaa nae pia lazima utimue mbio ukaangalie sehemu nyingine yenye unafuu. Baada ya hapo mtoto wa watu anapata stress na heart attacks.Kwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaruhusiwa dada maana inaumiza sana mtu umemkuta kapuku wa kutupwa ila ukaachana na usista duu wako ukakubali kuchekwa kuonekana kituko mbele za watu kwa ajili yake halafu mkishafanikiwa kupata anaanza kujiona hot cake aiseee huyo ua tu hata Mungu atakuelewaNilijua tuumbe watu kumbe tuanze nao chini mpaka juuu!!???
Sawa sio tatizo .....ila kuna kale katabia akifika juu anakwambia haukua type yangu analeta chuma kikaliiii then wewe mtafutaji unatimuliwa .....je ikitokea hivyo naruhusiwa kumuua huyo mtu au siruhusiwi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maisha lakiniAkifilisika huwezi kaa nae pia lazima utimue mbio ukaangalie sehemu nyingine yenye unafuu. Baada ya hapo mtoto wa watu anapata stress na heart attacks.
Kwa umri wangu na lifestyle yangu kumpata anaeanza kutafuta sio rahisi.. Acha niendelee kuwashikilia tu hawa ambao wameshaanza kupiga hatua tayari maana hamna jinsi nitakutana na mwanaume anaanza moja kabisa labda awe amefilisika.
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTEyaan acha tu nilishafika stage flani hivi ila mtu niliyempata mwenza wangu hali yake si shwar na siku aliyoleta posa nyumban aliambiwa jambo ambalo kiukweli akilisahau kutakachompata sijui kwa kweli maana sio kwa sacrifice hii niliyomuonesha
Ndo hatuwataki.. waje wakiwa na hela zaoKwanza hao choka Mbaya huwa hawana shukrani.Waki uograde kiuchumi wanataka ku upgrade na Mwenza.
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteUnaruhusiwa dada maana inaumiza sana mtu umemkuta kapuku wa kutupwa ila ukaachana na usista duu wako ukakubali kuchekwa kuonekana kituko mbele za watu kwa ajili yake halafu mkishafanikiwa kupata anaanza kujiona hot cake aiseee huyo ua tu hata Mungu atakuelewa