Wadada tembeeni na kanga au kitenge cha dharura

Wanawake ss ni waseng*** hatupendani hata sometimes i wish ningekuwa mwanaume aiseeee na ndio maana Mungu ametunyima baadhi ya vitu maana tungekuwa viumbe vikatili sana
Vitu gani mmenyimwa?
 
Well said mkuu kusaidiana kupo mkuu na sio jambo baya pia undugu,urafiki,na hata network mpya ya watu unaipata
hisani tu mkuu, nimemsaidia kama navyo saidia wengine. Hata mm huwa nasaidiwa na watu wengine hata siwajui. Kama yupo Jf abaki tu na hilo sweta siku akishidwa kubeba kang'a alibebe
 
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
Hongera sana mkuu!dada zetu wakiona mwenzao anapata mambo hayo hususani sehemu zenye watu kama hiyo hukaa na kumpiga vijembe hawa watu huwa hawapendani kabisa
 
Nani aliekuambia rafiki yake mwanamke n mwanamke? Hiyo sahau rafiki wa mwanamke n mwanaume mwanamke n shoga kwake wakusaidiana umbea tuu jitoe mkuu mungu atakulupa
 
Hongera kwa msaada wako mkuu, wamesoma na kuelewa.
 
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
Kwani kwenye zile pochi zao wanabebaga dilido peke yake? Ila mleta Mada umeandika kwa haraka, khaaa
 
Mungu atakulipia zaid ya hilo sweta la elfu 18.

Halafu watu wamekazana wanawake wa Dar kumbe ni wa Arusha.
 
Hongera kwa kugusa na hali ya huyo dada
 
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
Mungu atakulipa kwa wema wako!
 
Ndiyo hao wanadai haki sawa eti, ndiyo uwape madaraka tutajuta,, wenyewe kwa wenyewe wanaoneana wivu,, mwenye matako makubwa na asiye na matako,, wengine hawana matako wanamakalio tu [emoji648]
 
Ubarikiwe ndugu, Mwanamke asiyempenda mwanamke mwenzake ana tatizo la kutokujiamini, asaidie kisaikolojia.
 
Tatizo la watu wa Dar wanadhani kila anayepost chochote Jf yuko dar.
JF kila mtu yupo DAR tena Masaki,Mikocheni,Oysterbay,Mbezi Beach,Ununio Beach,Mbweni Beach,Kijichi Beach,Mikocheni,Ada Estate,Survey Mliman City,Upanga etc.

JF wote wana magari ya maana.

JF watu wana MaBAE wakali Cuties/HBs.

JF wote ......
 
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
Munu akubariki sana..huo ndo ubinadamu,unatoa msaada pasipokuombwa
 
Watanzania wengi ni kama vichaa siku hizi kwani hata waziri alisema hivyo. Utakuta mtu analia njiani anaomba msaada eti wanaume wa Dar na dada zao wanamcheka. Huyu mdada angekuwa mikoani asingechekwa, angesaidiwa tu.
 
Back
Top Bottom