Wadada tembeeni na kanga au kitenge cha dharura

Umefanya vizuri sana aisee,hata mimi nishawahi kumsaidia mtu akiwa kwenye hilo tatizo.Nilikuwa na kikoi cha kimasai kwenye bag nikampa
 
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
Big up brother , umeonyesha ukomavu wa hali ya juu.
 
Mkuu unamtangaza mwenzio sababu ya sweta ya sh. 18,000? Acha basi. Hapo ukute na namba umechukua
 
Ubarikiwe sana Mkuu. Mambo ya dar
IMG-20181103-WA0000.jpeg
 
Natumaini auku chukua no. Za simu [emoji41]
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
 
Wanawake mnachangamoto nyingi dah poleni, hii ni pamoja na dada zangu.
Ndio maana namshukuru sana Mungu Kwa kuniumba mwanamume
 
Hongera sana mkuu ni wachache wenye moyo kama wako
 
Umeanza vizuri ila huko mwishoni umeharibu.

"Sweta langu la elfu 18 amechukua" .
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
 
Hao maslay kwini hawatembei hata na kanga ya dharula .....mtoto wa kike popote utakapoenda hakikisha una kanga au kitenge sababu tuna dharula sisi ....kilichomkuta ni halali yake japo ubinadamu ulikua unahitajika
 
Back
Top Bottom