Wadada tembeeni na kanga au kitenge cha dharura

Wadada tembeeni na kanga au kitenge cha dharura

Mkuu upo makini duuh haahaa...Yule alikuwa uncle huyu alokutwa na balaa hili ndo mwenyewe sasa
hahahaha...kumbe ni mpango wa kando...maana Yule jamaa yake alikuachia jumla jumla upambane Na utamu mwenyewe.tukakushauri uhakikishe jina linawekwa vizuri pia kutoka Mjomba Dau...
 
Inabidi nae akupe zawadi kabisa. Sema umekosea sana kuto kuchukuwa namba.
 
Hii Ni kweli kabisa.
Wanawake wa siku hizi sijui wakoje.
Huwa naombana Sana na mke wangu tukiamua kwenda sehemu pamoja.
Nikimuambia habari za kutembea na kitenge au kanga kwenye pochi.
Yaani kwenye pochi sijui huwa wanaweka Nini. Imejaa na nzito kweli vitu vya kijinga tu.
Mwanamke unatembeaje Kama mwanaume mitaani?
Na nguo ulizovaa tu?
 
Watanzania wengi ni kama vichaa siku hizi kwani hata waziri alisema hivyo. Utakuta mtu analia njiani anaomba msaada eti wanaume wa Dar na dada zao wanamcheka. Huyu mdada angekuwa mikoani asingechekwa, angesaidiwa tu.
Unauhakika tukio hili limetokea dar? Tatizo la wanaume wa mikoani mnakurupuka sana bila hata ya kuchunguza jambo. Kwa kukusaidia tu hili limetokea Arusha.
 
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
Mkuu bravo!Elfu kumi.na name is nothing before someone's dignity! Mnyaazi Mola akulinde!
 
hata namba huja chukua...we jamaa bwana sasa sweta lako na ASANTE KUBWA utatunukiwaje...
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
 
I beg you a pardon,sie wengine nani?
Tunaposema wapare ni wa wafupi hatumaanishi hakuna wapare warefu.Kitakwimu tabia fulani kwa watu fulani ikitawala zaidi,tunawahukumu wote.Malezi na tabia zenu za siku hizi zinashangaza.Na haswa mlipovumbua uvaaji wa suruali na skin,mnajisahau sana.
 
Back
Top Bottom