falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,229
- 9,357
mimi huwa nachukuaga na namba, ndio tabia yangu
Kuna uwezekano mkubwa kuwa atalibeba kila siku mkibahatika kukutana akurejeshee kutokana na utu uliotumia hawezi sahauSio dar mkuu, ni Arusha jana jioni. Sweta langu ameondoka nalo we unategemea nitalipatage hata namba sikuchukua
Wanadai kutembea na khanga ni ushamba na uzwazwa....wakuja na Wa mikoani ndo wanabeba makhanga, wao Wa dar ni mwendo Wa kubeba handbag yenye pafyumu na lip shine tu.
Pole ni wadada Wa dar.
[emoji23][emoji23][emoji23] power bank muhimuSiku hizi wanatembea na powerbank za ermegency badala ya khanga za ermegency!![emoji4][emoji4][emoji4]
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??
Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,
Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...
Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..
Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua[/QUO
Ndio maana uislamu ukaweka mavazi maalumu kwa ajili ya wanawake,katika uislamu mwanamke haruhusiwi kuvyaa kigauni peke yake bila vazi la juu ya hiyo gauni,ambalo huitwa ni buibui,halafu avyae ni nguo nyingine kutoka kichwani mpaka kupita kiunoni.Na ndani bado atakuwa na chupi kirinda au suruali ya kike,hii yote ni stara.Wapo baadhi ya wanawake wa dini nyingine,wanaojielewa wanaigiza pia mavazi haya ya kiislam au yanayokaribiana nayo.
Mwanamke kuvyaa kigauni kifupi ,bila hata nguo nyingine,ndio tatizo lake hilo.
28 siyo 21Ni hizi nguo za suruali zinawapa kiburi kwamba hakuna dharura kumbe kuna kuonana na mbalamwezi kila baada ya siku 21
Lkn hajir ndo alieanza kumletea Sarah jeuri na kumkebehi hakumfukuza bila kosa....Ubarikiwe
Nlishawaambia wanawake hawapendan hii laana ilianza pale mke wa Ibrahim alipomfukuza yule kijakaz hajir aliye zaa na Ibrahim
Hii laana inahitaj maombi ya nguvu kuivunja
Wangemsaidia vipi wakati wenyewe hawana kanga? Au ulitaka wavue walizovaa? Ushauri wa kutembea na kanga si mbayaUbarikiwe
Nlishawaambia wanawake hawapendan hii laana ilianza pale mke wa Ibrahim alipomfukuza yule kijakaz hajir aliye zaa na Ibrahim
Hii laana inahitaj maombi ya nguvu kuivunja
sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua