Wadada tembeeni na kanga au kitenge cha dharura

ila mzee baba sasa kutuwekea bei ya sweta hapa ni ili iweje, au kutaka appreciation.
 
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
Ameshachukua !
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umenichekesha huku nikikupongeza kwa kitendo cha ukarimu ulichofanya kwa huyo dada!
Hawa wanawake wa siku hizi wengi wameharibika kitabia , hawana upendo wa kweli wanapenda pesa, wengi wanaingiliwa kinyume cha maumbile na hivyo wana laana mioyoni hakuna upendo hata kidogo wala huruma za wanawake tulizozijua sikuzote! Wapo tu wakimtumikia shetani tu duniani kwa kutembea uchi na kufanya umalaya maofisini, mabarabarani na hata kwwnye nyumba za ibada!
 
Ingeliomba namba ili umtafte akurudishie.
Nilitoa tu kumsaidia wala namba zake sikuchukua.
Umefanya vema mkuu BT umeharibu pale ulipotaja bei ulonunulia sweta hilo,thawabu zaweza pungua kutokana na kosa hilo la kutaja bei na kuji proud
kuji proud na elf 18???, mkuu sikutaja bei kuji proud au kuja kupata sifa hapa Jf?? pia ata huu uzi kuuleta hapa jf sio nataka sana sifa nikutoa idea inaweza kumsaidia kila mdada mwengine asike kuaibika sio kila mtu ana moyo wa kusaidia. Embu pitia hapa uone watu wanavyo toa The 20 most generous people in the world
ila mzee baba sasa kutuwekea bei ya sweta hapa ni ili iweje, au kutaka appreciation.
App reciation ya nini sasa au ata iyo appreciation kwa ajili ya elf 18?? Huwa na take risk sana kumsaidia mwengine sio kutaka appreciation.. Nilishanga tolewa kwenye exam room kwa kumpa msela question paper yenye majibu na bado mtihani ulio fata nikafanya ivyo kwa mtu mwingine, MM NIPOGO IVI KAMA NAUWEZO WA KUKUSAIDIA NA UNAHITAJI MSAADA WANGU LAZIMA NIKUSAIDIE HAIJALISHI ITA NI COST VIPI, LAKINI COST YA MSAADA WANGU ISIZIDI AMANI.
Pitia hii link uone watu wanaotoa msaada The 20 most generous people in the world
 
Ungechukua namba ili ajue namna ya kukurudishia sweta lako..

Ila wanaume wa dar mmezidi,yaani pamoja na joto lote la dar ila mnavaa masweta
Atakua alidamka mapema, all in all jamaa kawa mkarimu angechukua namba huenda angepata mke
 
Kumbe ndo maana mke wangu amerudi na sweta Leo nikamuuliza kalitoa wapi akasema amesaidiwa nikashindwa kumuamini, asahivi nimepata ukweli sasa.Shukrani mkuu
kumbe umeshamuoa Yule dada aliyekusevu Mjomba kwenye simu?
 
Kumbe ndo maana mke wangu amerudi na sweta Leo nikamuuliza kalitoa wapi akasema amesaidiwa nikashindwa kumuamini, asahivi nimepata ukweli sasa.Shukrani mkuu
kumbe umeshamuoa Yule dada aliyekusevu Mjomba kwenye simu?
 
Kumbe ndo maana mke wangu amerudi na sweta Leo nikamuuliza kalitoa wapi akasema amesaidiwa nikashindwa kumuamini, asahivi nimepata ukweli sasa.Shukrani mkuu
kumbe umeshamuoa Yule dada aliyekusevu Mjomba kwenye simu?
 
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
Pongezi sana Mkuu. Umetenda jambo la Kiungwana sana. Ubarikiwe...
 
Ongera sana kwa mkusitiri Dada yetu.
Umeta ushauri mzuri wa kubeba khanga au kitenge. Wanaojiheshimu watafuata ushauri wako.

NB:
Ushauri kwako: Unapotoa msaada, husoangalie gharama
 
Back
Top Bottom