Wadada tembeeni na kanga au kitenge cha dharura

Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
Wanawake hawapendani ukitaka kujua hilo ni rahisi mwanaume kumpisha siti mwanamke mjamzito au mwenye mtoto lakini si mwanamke mwenzake.
 
Umefanya vema mkuu BT umeharibu pale ulipotaja bei ulonunulia sweta hilo,thawabu zaweza pungua kutokana na kosa hilo la kutaja bei na kuji proud
 
Hata kama wanawake tuna roho mbaya hiyo imezidi kwakwel, katika mazingira kama hayo walitakiwa kumsaidia tu, mana aibu si kwa yule aliyechafuka tu hata kwao mana nao ni wanawake pia!
 
Mkuu uliupataje U-platnumz? Maana namimi natamani. Hebu niPM tuyajenge.
Changia mfuko wa jf laki 5,minimum laki mbili tu boss..kama upo tayar sema nikupe account number ya crdb na jina la akaunti ni jamii media(ambayo ndan yake ndo kuna hii jamiiforums)
 
Me sijasema kama we ni mrembo,unaweza ukawa na sura chachu kama ya anko j ila mtonyo ukawepo wa kutosha,

Na mie sijakusudia kawaida kama ni kwa urembo nimekusudia kwa cash kama ulivo kusudia wewe,Na ni kipi hasa kilichokufanya uwaze kama nina mtonyo?
 
Kilicho tokea leo nimeshindwa kuwaelewa kabisa hawa wamama wameshidwa kabisa kumsaidia mwanamke mwenzao??

Leo nilikua nimepanda daladala nimekaa siti ya mwisho kabisa kulikua na wadada wa 2, mama mtu mzima mjoja na mm jumla wa 4' mbele yetu alikua amekaa mdada age kama 19-22,

Tulivyofika mwisho wa daladala kutokana sijui ni hizi bamnsi za barabaran huyo mdada alifikwa na menstruation period yeye mwenyewe bila kujua wakati tunajiandaa kushuka dha' wote tuliokaa siti ya nyuma yake tuliona ile hali, sasa baada ya kuona ile nikasubiri ili mm nishuke wa mwisho nikijua wale wamama watatu watamsaidia cha ajabu nilishangaa watu badala ya kumsaidia wanacheka chini chini wakati wanasuka kwenye daladala, aise nimeshangaa sana sikuamini hata...

Nikawaza chap chap ili kumfanya asije akaaibika nilikua nimebeba sweta langu mkononi nikalimpa ajifunge kumlindia heshima tu, Ameniangalia kwa aibu nilivyo mpa lile sweta ajifuge..

Aisee nimeshangaa leo kuona mwanawake wamemuacha mwanamke mwenzao bila msaada, lakini pia nyie wadada mnapotembea bebeni basi hata kanga au kitenge cha dharula sweta langu nilinunua elf 18 ameshachukua
Wanawake hawapendani asilimia kubwa mkuu
 
Kwanza nikupongeze sana kwa hatua ya Kiutu, Kiume na Ubinadamu uliyoichukua ili Kumsitiri na aibu huyo Dada / Mama na nadhani hili ni jambo la Kuigwa kabisa na Wanaume wengi ila pia umeweza Kuonyesha ni jinsi gani Sisi Wanaume tulivyo na roho ya Upendo.

Kuhusu hawa Wanawake labda itoshe tu kusema ya kwamba ni kweli kwamba ni Mama zetu, Bibi zetu, Wake zetu, Wapenzi wetu na Dada zetu ila wana tatizo la asili ambalo pengine litamalizika pale tu dunia itakapopinduka rasmi wakati wa Kiama na kurudi tena upya kwani huenda ' Muumba ' akawa amewaongezea Kitu kipya na Kizuri katika akili / bongo zao. Ila kwa sasa tuwavumilie na tuwasamehe tu.
 
Ni hizi nguo za suruali zinawapa kiburi kwamba hakuna dharura kumbe kuna kuonana na mbalamwezi kila baada ya siku 21

Nakuomba hata Siku moja usije kufikiria Kuitoa hiyo Picha uliyoiweka katika Avatar yako tafadhali. Naipenda na nimeikubali Kunakotukuka.
 
Story za kwenye MIGAHAWA.
Huenda ikawa chai au ikawa kweli, maana hata mi nakumbuka tukio kama hili nikiwa advance, ile watu wanatoka class break time niko back bencher naona mtu kachafua, ikabidi nimuite, nikampigisha stori ili watu waishe then ndio nikamuambia na kumpa sweta hivyo hivyo japo mi nilimwambia atanirudishia.
So huwa inatokea.
 
Back
Top Bottom