Wadada siku moja moja igeni maisha ya simba jike

Mh......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mariooo piga keleleeeeeeee.........wooooooyooooooooooo
 
Aisee,
Mbona mkisifiwa "Bibie uzuri wako ni sawa na wa ndege Tausi na mwendo wako u mzuri na hatua za hesabu kama Twiga" mnafurahi, siku moja moja sio mbaya kumuiga simba jike bhana[emoji40] [emoji125] (namsaidia mleta mada kuwaza kwa sauti)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeupenda sana ufafanuzi wako mkuu.
 

Mbona tayari majority wapo hivyo?

Imagine simba wangekuwa wanawaiga nyie. imagine simba jike anawinda , analeta nyama halafu simba dume anabeba anapeleka kundi lingine wanakula wanamaliza. Si mngewaona wanyama hovyo sana??? Lakini ndo tabia zenu hizo.
 
Mmh. Ila baadhi ya wanaume mnapenda dezo sana aiseee.

Tafuteni kwa jasho mpate kuheshimiwa na kuthaminiwa kama wanaume. Hayo ya Simba waachieni wenyewe Simba.
Sio dezo wewe, siku moja moja nimesema. Hasa kama wewe ni mama chapakazi. Ila kama ni golikipa hutaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…