Wadada siku moja moja igeni maisha ya simba jike

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,937
Reaction score
8,358
Simba jike anawinda then analeta home anakula na simba dume. Tena anakula kwanza mume kisha jike anakula baadae. Ndipo hata mzigo simba dume anatoa wa kutosha.
Sasa ninyi endeleeni na vizinga vyenu vya kila siku harafu muendelee kutegemea na kileleni mpelekwe
Siku njema.
 
Aisee,
Mbona mkisifiwa "Bibie uzuri wako ni sawa na wa ndege Tausi na mwendo wako u mzuri na hatua za hesabu kama Twiga" mnafurahi, siku moja moja sio mbaya kumuiga simba jike bhana[emoji40] [emoji125] (namsaidia mleta mada kuwaza kwa sauti)
Halafu haohao wanapenda waume eti wawe na nguvu kama za simba dume!!
 
Kumbe Simba ni majike ndio maana wamebeba kombe, OK
 
Hahaaaa. Ndio Swahiba [emoji85] [emoji85].

Nimeogopa Swahiba sababu siku zote wanasemaga mazowea huwa tabia. Naweza nikawa Simba siku moja halafu mwisho wa siku ndio inakuwa kawaida hiyooo.
Aisee, sawa swaiba. Ngoja na mimi niache kumsaidia ubavu wangu kazi za nyumbani "mazoea yasije kujenga tabia"[emoji40] [emoji125]
 
Aisee,
Mbona mkisifiwa "Bibie uzuri wako ni sawa na wa ndege Tausi na mwendo wako u mzuri na hatua za hesabu kama Twiga" mnafurahi, siku moja moja sio mbaya kumuiga simba jike bhana[emoji40] [emoji125] (namsaidia mleta mada kuwaza kwa sauti)
Halafu haohao wanapenda waume eti wawe na nguvu kama za simba dume!!
Hahahaaaa naona mmeamua kunikata kilimi. Basi bwana tutawaiga hawa simba jike....ila na nyie sasa muwe kweli imara kama simba dume[emoji12]
 
Hahahaaaa naona mmeamua kunikata kilimi. Basi bwana tutawaiga hawa simba jike....ila na nyie sasa muwe kweli imara kama simba dume[emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uimara wa Simba dume unatokana na jinsi simba jike anavyomhudumia[emoji40] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…