Wadada punguzeni tamaa

Ukiwa Bado Upo Single Au Useme Umgonge Umuache Ndo Njia Sahihi Ya Kurudiana Utendwe Tena Kuwa Na Msimamo Simamia Unachokiamini.
 
poa mkuu lkn kamaitatokea anashida ya kitu ambacho unauwezo nacho ww mpatie just be a gentleman
hiyo ni kukaribisha majipu, haipo hiyo maana wanawake wako wengi alichonacho nitakipata popote, yeye ameshagegedana vya kutosha leo hii baada ya kukosa soko ndio anajileta kwangu.. Mm sio fungu la kukosa au muokota mizoga
 
Wanawake wana mbinu nyingi sana, na hivyo anajua unampenda lazima utamsamehe tu...
 
pole sana, hua inauma kuachwa kwa sababu ya kipato .Kaanaye mfundishe kutafuta maisha sio kutafuta wanaume wenye maisha mazuri. Then msamehe anaweza kuwa mke mzuri
 
Hawa viumbe huwa wanakuja jitambua mwisho wa picha. Kwan hapo ndipo ukweli hujulikana
 
Back
Top Bottom