Wadada punguzeni tamaa

Wadada punguzeni tamaa

Mijanamke used mimi hamna tuu...
Naamini cku moja Ex-gf wangu (yule alienitia hasara majuzi) atarudi ulimi chini anatambaa...

Kubabake nitakacho fanya ni kumgonga na kum dump...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Haa haa haa aiseee ay atarud ulimi chin anatambaa
 
Ndo maaana,single mother n wengi mtaani
 
Msamehe tu mkuu, alikuwa dhaifu sasa amejifunza.
 
Wakishakuwa masingo maza wanatia huruma hatari, me yupo mmoja alinikimbia akatumbukia kwenye mikono ya wahuni,wakampiga mimba wakasepa kibarua kikaota nyasi, mtoto analea peke yake sometimes namwoneaga huruma but me siwezi rudiana na mtu ambaye alinikataa mwenyewe na akadunguluwa
 
Fanya hivi akijileta ww mle tigo mpaka puru limtoke nje hlf um-dump cku hyo hiyo zema21
 
Msamehe tu mkuu, alikuwa dhaifu sasa amejifunza.

I'm 90% sure kuwa huyo mdada hajajifunza lolote, anataka kutake advantage kwa mchizi, ni unafki tu uumemjaa huyo mdada,h ayo yashankuta so mm wanawake nawaelewa vizur sana atoto
 
I'm 90% sure kuwa huyo mdada hajajifunza lolote, anataka kutake advantage kwa mchizi, ni unafki tu uumemjaa huyo mdada,h ayo yashankuta so mm wanawake nawaelewa vizur sana atoto
Teh!! Yaani likukute kwa mmoja basi hiyo experience uitumie kwa wanawake wote!! Endelea kuwasoma maybe utawaelewa.

Mie nawafahamu waliopitia situations hizo na wakarudiana na wakaishi vizuri tuuuu, haya mambo hayana pie.
 
kwani mm ndio pumziko la watu? aliponitenda hakujali kama nimeumia au la! leo ameumizwa sasa anafikiri i am concerning katika mauvimu yake. Aende zake huko akawatafute wengine!
 
mapenz sikuizi hakuna.....Kwann tunaendelea kulalama......Tulien ee
 
Back
Top Bottom