Wadada punguzeni njaa!

Wadada punguzeni njaa!

ikawaje mkuu,alirudisha au?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanarudishaga vitu hawa mkuu! Ilibidi nikanunue charger nyingine kesho yake. Niliamua kupiga chini tu, maana kila akija atataka kuondoka na kitu hata ukimkataza. Sisi wengine tumefundishwa kuheshimu vitu vya mtu mwingine, huwezi chukua bila kuomba.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanarudishaga vitu hawa mkuu! Ilibidi nikanunue charger nyingine kesho yake. Niliamua kupiga chini tu, maana kila akija atataka kuondoka na kitu hata ukimkataza. Sisi wengine tumefundishwa kuheshimu vitu vya mtu mwingine, huwezi chukua bila kuomba.


Sent from my iPhone using JamiiForums


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ubahili huu....
Ebu wanaume tuzidi kutoweka tu aiseeeeee....
 
Shida ni pale ambapo unajua wazi hii ni chapa ilale... Yaani wakujipigia ndio maana roho zinawauna.

Mabinti wengi nao wanazidi wanaifanya papuchi ndio kitega uchumi,
Ila vijana wa kiume mna gubu sana chaaa,..mkiombwa nauli mnalia,mkiombwa spray ya buku jero kamasi hizi hapa,.jamanii hadi chumvi roho zinawaruka kama ndondo jikoni lolmnatakaje etii???

BURE GHALI jomoniii,.
 
yaan full vituko aisee

QUOTE="Saint anne, post: 30991135, member: 501930"]

Mi nlikua nawaona tu..hivi ombaomba analingania na wewe kweli!???
Yalikua yanakurupuka tu kuandika na kushabikia utumbo ule wa mwenzao

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
 
Kwani na wewe si kuna vingi unatakaga kutoka kwa mwili wake?
 
Hivi wadau mnawachukuliaje wanawake wanaokuja gheto wakiona sukari, tambi, shati zuri, simu, pafyumu, saa au chochote kizuri wanataka?

Kwani mimi nilonunua sina shida? Wadada punguzeni njaa.

Hata kama mtu alikuwa na mpango nawe anakuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mnawataka basi hao waoeni .
Huku mnatuchoshaga yaani kama ni machizi tu humu ya mejaa .
Kwani huwezi achana naye unadata na mapigo ya kizaramo ishii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom