Wadada punguzeni njaa!

Wadada punguzeni njaa!

Wadada haya mawiki mawil yatakuwa marefu sana kwenu maana tuko bamba tu bamba na nyinyi

13SEPTEMBER
 
Ila vijana wa kiume mna gubu sana chaaa,..mkiombwa nauli mnalia,mkiombwa spray ya buku jero kamasi hizi hapa,.jamanii hadi chumvi roho zinawaruka kama ndondo jikoni lolmnatakaje etii???

BURE GHALI jomoniii,.
Demu mwenye njaa ya kuomba mpaka sukari, chumvi nk huyo hafai kabisa. Demu ni yule anayepiga mizinga ya maana bhanaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikija mie nabeba kitanda


meeyah nimecheka ghafla jaman hv ww mzima😂😂😂.mie last months kuna jamaa alipita napoishi anatokea bukoba...sasa akapita na usafiri wake jion nimetoka job..😂😂😂..nilimuagiza wine dom hakuleta...nikaenda kwa buti nikakuta ana mafuta ya alizet na vitunguu kanunua singda...nikabebelea km vyangu vile...alikua ana miwan mizuriiii nikaichukua ananishangaa tu😂😂😂..nikamwambia haya baba nenda hana hamu na mm..chaa!
 
Hivi wadau mnawachukuliaje wanawake wanaokuja gheto wakiona sukari, tambi, shati zuri, simu, pafyumu, saa au chochote kizuri wanataka?

Kwani mimi nilonunua sina shida? Wadada punguzeni njaa.

Hata kama mtu alikuwa na mpango nawe anakuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi tu, na wewe si unachukua K yake.. Ulitaka upate bure mkuu?

Ushauri: pindi anakuja kwako mtumie 50 kabisa, hatochukua hata pini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom