Wadada punguzeni njaa!

Wadada punguzeni njaa!

Kuna mmoja huyo kila akiona nguo nimevaa akiisifia lazima akija gheto aichukue, akanifanya nikawa sina Uhuru hata wa kupiga picha nipost...maana naona kabisa angezimaliza zote...kila siku nifanye kazi ya kumnunulia yeye nguo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukawa unampa tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wajinga ndio waliwaoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply... inafkia mahali akipga simu anakuja itabidi unafcha vitu vingne,madem wengne bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom