Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
Safi tu, na wewe si unachukua K yake.. Ulitaka upate bure mkuu?
Ushauri: pindi anakuja kwako mtumie 50 kabisa, hatochukua hata pini.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂
Safi tu, na wewe si unachukua K yake.. Ulitaka upate bure mkuu?
Ushauri: pindi anakuja kwako mtumie 50 kabisa, hatochukua hata pini.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Spray za 1500 znapatikana mkoa gani ?
Tuko wengi [emoji23][emoji23][emoji23]Hhaahaa nimesema juzi mm nikaambiwa ndo aomba omba[emoji23][emoji23]
Ha haa sasa we hapo umeua. Na yy anakujaje mikono mitupu? Alitakiwa awe amekubebea vitunguu na wewe. Maskini atakuwa anakuwaza huko alipo [emoji16]meeyah nimecheka ghafla jaman hv ww mzima[emoji23][emoji23][emoji23].mie last months kuna jamaa alipita napoishi anatokea bukoba...sasa akapita na usafiri wake jion nimetoka job..[emoji23][emoji23][emoji23]..nilimuagiza wine dom hakuleta...nikaenda kwa buti nikakuta ana mafuta ya alizet na vitunguu kanunua singda...nikabebelea km vyangu vile...alikua ana miwan mizuriiii nikaichukua ananishangaa tu[emoji23][emoji23][emoji23]..nikamwambia haya baba nenda hana hamu na mm..chaa!
Ha haa sasa we hapo umeua. Na yy anakujaje mikono mitupu? Alitakiwa awe amekubebea vitunguu na wewe. Maskini atakuwa anakuwaza huko alipo [emoji16]
Safi tu, na wewe si unachukua K yake.. Ulitaka upate bure mkuu?
Ushauri: pindi anakuja kwako mtumie 50 kabisa, hatochukua hata pini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila vijana wa kiume mna gubu sana chaaa,..mkiombwa nauli mnalia,mkiombwa spray ya buku jero kamasi hizi hapa,.jamanii hadi chumvi roho zinawaruka kama ndondo jikoni lol😂😂😂😂mnatakaje etii???
BURE GHALI jomoniii,.😝
kwani nilienda wapi
[emoji23]Ila vijana wa kiume mna gubu sana chaaa,..mkiombwa nauli mnalia,mkiombwa spray ya buku jero kamasi hizi hapa,.jamanii hadi chumvi roho zinawaruka kama ndondo jikoni lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnatakaje etii???
BURE GHALI jomoniii,.[emoji13]
Tuwe wakweli.Hahaahahaha aisee huyo anaebeba hadi sukari nimemnyooshea mikono[emoji16][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafuate kilichowapeleka maghetoni tu.Ila vijana wa kiume mna gubu sana chaaa,..mkiombwa nauli mnalia,mkiombwa spray ya buku jero kamasi hizi hapa,.jamanii hadi chumvi roho zinawaruka kama ndondo jikoni lol😂😂😂😂mnatakaje etii???
BURE GHALI jomoniii,.😝
Hahaha
Wana tamaa hao, unakuta akiingia ghetto ni macho juu juu. Kuna mmoja aliondoka na earphones zangu na charger ya simu yangu. Nikajiuliza huyu mtu ana akili kweli? Mimi simu ntachajia wapi na hivi hizi smatifoni hazikai na chaji.
Sent from my iPhone using JamiiForums