Mie vyoo vya nje ya kwangu labda kwa wazazi au ndugu zangu mie ndio naweka matako.
Mengine ukihitaji haswa lazima usafishe na tishu na sabuni halafu nakata toileti pepa vipande vipande natandaza juu ya kiti ndio nakaa kama siwezi napita....
Aisee vyoo vya kukaa havifai kabisa kwa matumizi ya watu wengi. Labda mtu kaweka chumbani huko na mkewe sawa, lakini sio ndo kinakuwa choo kikuu cha familia nzima + wageni; aisee kupokezana makalio pale juu si sawa.
Dah! Kumbe wanamama wana kazi hivi? Sema hizi mambo mngekuwa na group lenu mnaelekezana huko, ingekuwa babkubwa zaidi. Kuna vitu unasoma mwanaume humu, unaona aibu design. Vingine vinatujengea picha za ajabu kichwani. Ni mtazamo tu.
ha ha haha haHao madaktari wanajifanya wanadeal na magonjwa ya kike matokeo yake ndo wanatulia wake zetu na dada zetu.mf akianza kukuonesha jinsi ya kutanua lips umeliwa.
Hiki kivazi mi sikipendi yani nakivaaga mara chache, nikitoka misele kabla hata sijavua viatu navua chenyewe kwanza....
Hao madaktari wanajifanya wanadeal na magonjwa ya kike matokeo yake ndo wanatulia wake zetu na dada zetu.mf akianza kukuonesha jinsi ya kutanua lips umeliwa.
Hapo pa kuosha papuchi na maji ya vuguvugu, nafkr yanatakiwa kuwa ya baridiiiiiiii ili kitu kiwe 0
platozoom upo?
mekumiss
umbea wako umekuleta .. kwani we ni dada?Dah! Kumbe wanamama wana kazi hivi? Sema hizi mambo mngekuwa na group lenu mnaelekezana huko, ingekuwa babkubwa zaidi. Kuna vitu unasoma mwanaume humu, unaona aibu design. Vingine vinatujengea picha za ajabu kichwani. Ni mtazamo tu.
Hiki kivazi mi sikipendi yani nakivaaga mara chache, nikitoka misele kabla hata sijavua viatu navua chenyewe kwanza....
Haha.
Mh Kuna makungwi humu wanajitia umwali.
Ni bora pia hata mwanamke abebe zile waipu za kufutia watoto kwenye pochi na kutumia akipata haja zote maana na maji ya mko.jo yakikaa sana mabaya.
Mie vyoo vya nje ya kwangu labda kwa wazazi au ndugu zangu mie ndio naweka matako.
Mengine ukihitaji haswa lazima usafishe na tishu na sabuni halafu nakata toileti pepa vipande vipande natandaza juu ya kiti ndio nakaa kama siwezi napita....
Hata zile waipu za kusafisha kuua vijidudu usiziamini utaweka tu tishu ukimaliza unasukumia chooni na kupande kingine
Haha. Nikioshaga na maji ya baridi nahisi sijatakata.
Kama unataka remedy ya kubana huko uwe unaweka tupisi twa barafu.
Haha. Nikioshaga na maji ya baridi nahisi sijatakata.
Kama unataka remedy ya kubana huko uwe unaweka tupisi twa barafu.
Hahaa sio hivyo bhana ila huwa najaribu tu kufikiria kama hiyo ni sheria ya kila ndoa....yan hata kama siku hiyo hamfanyi pia ni marufuku kuvaa??