Wadada, njooni tufundishane usafi

Dah! Kumbe wanamama wana kazi hivi? Sema hizi mambo mngekuwa na group lenu mnaelekezana huko, ingekuwa babkubwa zaidi. Kuna vitu unasoma mwanaume humu, unaona aibu design. Vingine vinatujengea picha za ajabu kichwani. Ni mtazamo tu.
 
Wewe tu na kiranga chako wengine hawajachungulia wala...
Haha hebu ambaye hajachungulia aseme. Besides, kichwa cha habari hakijakataza tusio wadada kuingia.

Saivi sasa kila nikikuona, nafikiria tu unavyojaribu kulala bila defence. Awkward.
 
Hawa mahouse girl kumbe wasafi hivi hongerayo dadayo
 
Aisee vyoo vya kukaa havifai kabisa kwa matumizi ya watu wengi. Labda mtu kaweka chumbani huko na mkewe sawa, lakini sio ndo kinakuwa choo kikuu cha familia nzima + wageni; aisee kupokezana makalio pale juu si sawa. Tena kwenye kupuu unaweza kuta maji yamekurukia yereuwiii

Njia nzuri ya kukojoa ni kama unafanya kegel exercise, pale flow ya mkojo ni ndogo sio unafika tu unaachia kojo lote kama ng'ombe waaaaaa, mkojo kukurudia ni rahisi
 
Nafikili ni elimu nzuri kwa watu wote. Ukizingatia na jamii tunazoishi
Ni elimu nzuri sijapinga. Ila ni kwa wanamama, na sio kwa watu wote. It's awkward kiaina. Na hapa mi nimesoma nusu nusu tu, sikuwa na ubavu wa kumalizia posts zote.
 
Ha! Ha! Ha! Nafikiria humu jamii forum.....

Naeza comment kumbe na comment post ya dadangu.... ama my .exe lol


We need a resution we have gotta so much confusions!
Jf ni kichaka..Utaweza kuwa deile unatukanana na ndugu,rafiki au mpenzi wako humu bila mwenyewe kujua
 
Teh teh...Ahsante kwa dondoo...Kwa niaba ya wife
 
Teh teh...Ahsante kwa dondoo...Kwa niaba ya wife
Ila nyie wanaume ni wanywanywa khaa, em tokeni. Huku leo muite tu ma mdogo. Ila hapo kwenye choo cha kukaa tu usije tuwekea familia nzima
 
Ila nyie wanaume ni wanywanywa khaa, em tokeni. Huku leo muite tu ma mdogo. Ila hapo kwenye choo cha kukaa tu usije tuwekea familia nzima
Teh teh..Ma mdogo ako hayupo huku kwa sasa..Ndo nikasema nipite niibe dondoo mbili tatu ili nikapenzishe..Nwei ngoja nitoke..

Vyoo vya kukaa kama una familia ndogo sio mbaya..Ni rahisi kucontrol
 
Hiyo namba tisa mimi kwangu ngumu aisee japo naanza kufanya zoezi...naweza nisijifunike sehemu zingine nikawa mtupu ila bila chupi aisee ngum sana

Hiki kivazi mi sikipendi yani nakivaaga mara chache, nikitoka misele kabla hata sijavua viatu navua chenyewe kwanza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…