Wadada niwape siri, ukisikia mwanaume anasema

Wadada niwape siri, ukisikia mwanaume anasema

Dah,kweli tuna tofautiana.
Sipendi mabonge mimi,vimodo ni balaa.

Bonge ni tabu tupu,hata haujui kama lina sisimka aisee.

hapa tuko pamoja...easy to carry ndo mpango mzima,raha mpaka kisogoni!!
 
Mheshimiwa spika,

mie hata akiwa na sura nzuri kiasi gani, akiwa mwembamba tu basi kwangu tutabaki marafiki wa kudumu, no love. Hata akiwa na sura mbaya kiasi gani, akiwa
mnene tu basi tutagombana hadi dakika ya mwisho

Mnene kama hawa shangazi zangu?? Ukiwa mind usilete longo longo wala kugombana unakotishia, njoo nyumbani leta posa uje nyumbani Kibondo!!! Mshenga atakutana na wenyeji wake pale kona ya Nyakanazi, Ushirombo!!! Kazi ni kwako!!!

Bonge bonge.jpg

View attachment 65809
 
Ulishaawahi kummega mwanamke, ukafumba macho, ukimuwaza mwingine? Ilinikuta aloo noma
Tabia mbaya hiyo! Kama huna habari hata huyo unayemmega sometimes hufumba macho akikiwaza kidume kingine, wewe kwa ujuha wako utadhani anafumba macho kwa kuwa kanogewa.
 
Mimi akiwa na sauti ya kukwaruza tu kama ya halima mdee, hata benzi nitahonga. Haijalishi ni flat screen,nokia tochi au gombe stream, mimi sauti tu jaman nafwaaaaaaa
 
mhhhhhh makubwa hayaaa!!!!

kumbe ndo mana sura bandia siku hizi zinaongezekaaaaaa.....................

lakini naona hata jitihada za kutengeneza uume (wingi= nyume) nazo zinaongezekaaa.......

ay see........
 
Mimi akiwa na sauti ya kukwaruza tu kama ya halima mdee, hata benzi nitahonga. Haijalishi ni flat screen,nokia tochi au gombe stream, mimi sauti tu jaman nafwaaaaaaa

hahahaaaaa! songwe river je!
 
potabo kwangu ni sumu,ushepu ndo mpango mzima,na madada wanene nao sio mpango mijasho dkk mbili tu....
mnaboa.....
 
Tabia mbaya hiyo! Kama huna habari hata huyo unayemmega sometimes hufumba macho akikiwaza kidume kingine, wewe kwa ujuha wako utadhani anafumba macho kwa kuwa kanogewa.

binti, hapo kwenye red niliambiwa juha mwaka 88 chuo kikuu cha liverpool, sasa nakushangaa sana wewe...sina cha kuongea na weye..

namepita tu....

na yule alikuwa mzungu sasa wewe mwenzetu mbantu unang'aka kitu gani...na tunapoingia kwenye vibanda vya wahy tunafumba mach ns kuvuta hisia je, pale hauombi mate
 
Mnene kama hawa shangazi zangu?? Ukiwa mind usilete longo longo wala kugombana unakotishia, njoo nyumbani leta posa uje nyumbani Kibondo!!! Mshenga atakutana na wenyeji wake pale kona ya Nyakanazi, Ushirombo!!! Kazi ni kwako!!!

View attachment 65808

View attachment 65809

Yaani mama mdogo haya ndio madude yangu hapa udenda unanitoka aisee, vimodo nivipeleke wapi mie sitaki shombo wala kesi ya mauaji. nikutafutie wapi mama mdogo aisee
 
Yaani mama mdogo haya ndio madude yangu hapa udenda unanitoka aisee, vimodo nivipeleke wapi mie sitaki shombo wala kesi ya mauaji. nikutafutie wapi mama mdogo aisee

Nazingatia mila na desturi, mimi ni Mkweo mtarajiwa, ni marufuku kuonana kabla mambo yako hayajaeleweka a kukubalika nvizuri, nirushie PM nitakuunganisha na mshenga.
 
poabo kwangu ni sumu,ushepu ndo mpango mzima,na madada wanene nao sio mpango mijasho dkk mbili tu....
mnaboa.....

Ila unene nao ukizidi dah!halafu ukute mtu mwenyewe mchafu!maana wengi wao kujiosha vzr ni shida kutokana na maumbile yao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom