Wadada niwape siri, ukisikia mwanaume anasema

Mi zote nakubaliana ila EXCEPTION inawakuta wenye sura mbaya Iila POCHI LILITUNA MADOLARI. Ukiwa na KISU kirefu bana hakuna atakaewaza hilo sura lako. Pesa sabuni ya roho! NAKUONA BONGE LA HANDSOME

Gold Digger. . .!!
 
Muongozo mh speaker!!! Kongosho kama sijamuelewa vile!! Kuhusu utaratibu inakuwaje member wanaleta muzaa kwenye sredi?? Taarifaaaaa.............
«»«»«»«»«»«»«»«»«»«»«»«»«»«»
Mwanamke hata kama hana sura ya kuvutia sana hila akiwa na shepu flani hiv basi shepu inambeba na kuonekana na mvuto!! Vita ni vita muraaaa MVUTO KWANZA(By Martin Kadinda)
 
nyie wanaume mbona hamueleweki..wengi si mnawazia K tu sasa hiyo sura inakujaje tena mnahusudu na yale ma-wo wo wo yakiruka singida dodoma singida dodoma??

mie nikisoma comments za wanaume wengi humu huwa naimagine hao wanawake zao watakuwa wazuri kama malaika.
 
Mheshimiwa spika,

mie hata akiwa na sura nzuri kiasi gani, akiwa mwembamba tu basi kwangu tutabaki marafiki wa kudumu, no love. Hata akiwa na sura mbaya kiasi gani, akiwa mnene tu basi tutagombana hadi dakika ya mwisho

Dah,kweli tuna tofautiana.
Sipendi mabonge mimi,vimodo ni balaa.

Bonge ni tabu tupu,hata haujui kama lina sisimka aisee.
 
Muongozo mh speaker!!! Kongosho kama sijamuelewa vile!! Kuhusu utaratibu inakuwaje member wanaleta muzaa kwenye sredi?? Taarifaaaaa.............
«»«»«»«»«»«»«»«»«»«»«»«»«»«»
Mwanamke hata kama hana sura ya kuvutia sana hila akiwa na shepu flani hiv basi shepu inambeba na kuonekana na mvuto!! Vita ni vita muraaaa MVUTO KWANZA(By Martin Kadinda)

Jibu la Muongozo:
Kongosho alitoka nje ya maada baada ya kuambiwa akapime HIV akawa ame
changanyikiwa.

Back to topic:
Hata kama hana shape,at least unaweza jifariji na sura hisia zikaja.
 
Last edited by a moderator:
nyie wanaume mbona hamueleweki..wengi si mnawazia K tu sasa hiyo sura inakujaje tena mnahusudu na yale ma-wo wo wo yakiruka singida dodoma singida dodoma??

BJ wanaume wanatamani kwanza na baadae sana ndio wanapenda na kinachofanya watamani kwanza ni sura ya mwanamke. Hivi kwanini hujuuliza wanawake wanapenda kujeremba?
 
Labda watoto wa kimanga ndo unakuta sura nzuri but takoless and hipsless, sio utamaduni wa kibantu asee.but exeption to the rules wapo.

yeah nilikuwa narefer kitu kama icho na nimewaona...sema wanakuwaga na maneno mengiiiiiii kama mchiriku. Ila kama ndo ivo mtu wa kucheki figure nk hakupi mzuka kabisa lol
 
yeah nilikuwa narefer kitu kama icho na nimewaona...sema wanakuwaga na maneno mengiiiiiii kama mchiriku. Ila kama ndo ivo mtu wa kucheki figure nk hakupi mzuka kabisa lol

Kaizer kumbe na wewe umo........Kids wako wakicheki hayo maneno hoooi
 
Back
Top Bottom