Wadada niwape siri, ukisikia mwanaume anasema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadada niwape siri, ukisikia mwanaume anasema

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Speaker, Sep 21, 2012.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nakuchukulia kama dada yangu ana maana (una sura mbaya)

  Sikupendi kimapenzi (una sura mbaya)

  Sitaki kujihusisha na mapenzi kwa wakati huu (una sura mbaya)

  Kiukweli nina girlfriend yuko masomoni (una sura mbaya)

  Nakwepa kuwa na mahusiano na mtu ninaefanya nae kazi (una sura mbaya)

  Tatizo sio wewe ni mimi (Una sura mbaya)

  Nimeamua kuwa bachela mpaka kifo (una sura mbaya)

  Tuwe marafiki tu (Una sura mbaya)
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,173
  Trophy Points: 280
  Kumbe sura ndo kila kitu?
   
 3. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Duh!!! Una sura mbaya ina synonyms nyingi!!!
   
 4. W

  Wimana JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Like!
  Bila shaka Mh spika atatupa jibu.
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Mi zote nakubaliana ila EXCEPTION inawakuta wenye sura mbaya Iila POCHI LILITUNA MADOLARI. Ukiwa na KISU kirefu bana hakuna atakaewaza hilo sura lako. Pesa sabuni ya roho! NAKUONA BONGE LA HANDSOME
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Haswaaa,ndo mapokezi yenyewe hayo.
  Anaesema kapenda kingine ni muongo huyo.
   
 7. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ndio hivo,hakuna kisingizio kingine hapo.
  We unadhani akiwa mrembo uta mwambia muwe marafiki tu?
   
 8. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  Nimekupndea mguu( una sura mbaya
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha,kabisaaaa.
  sura ndo kila kitu,hata hisia zinaanzia kwenye sura kwanza
  sio mguu wala nini.
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  una sura mbaya (una sura nzuri)

  he he he, happy wazuri day!
   
 11. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Yes..namwambia tuwe marafiki tu,kama nitajiendekeza si nitamaliza warembo wote ninaokutana nao!!!
   
 12. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,084
  Likes Received: 601
  Trophy Points: 280
  Ulishaawahi kummega mwanamke, ukafumba macho, ukimuwaza mwingine? Ilinikuta aloo noma
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Duh,hiyo balaa.
  Bora hata usianze nae kabisa
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Wengine shepu ndo kila kitu
  mwanamke hata awe na sura mbaya vipi
  kama una figure ya kufa mtu
  watu wanakugombania still
   
 15. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  nyie wanaume mbona hamueleweki..wengi si mnawazia K tu sasa hiyo sura inakujaje tena mnahusudu na yale ma-wo wo wo yakiruka singida dodoma singida dodoma??
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yep,unaweza yahusudu hata ukatoboa suruali akiwa anaenda away from u.
  Ila akigeuka kuitikia salaaam unaweza ishiwa hisia zote ukasahau
  Singida na Dodomya zote
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,688
  Likes Received: 12,725
  Trophy Points: 280
  Pengine si kweli!
   
 18. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  sura nzuri ni ipi?na sura mbaya ni ipi?
   
 19. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #19
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Mheshimiwa spika,

  mie hata akiwa na sura nzuri kiasi gani, akiwa mwembamba tu basi kwangu tutabaki marafiki wa kudumu, no love. Hata akiwa na sura mbaya kiasi gani, akiwa mnene tu basi tutagombana hadi dakika ya mwisho
   
 20. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nyumbani kwetu hawajakupenda(una sura mbaya)
   
Loading...